Tukiweza kutenganisha Serikali na Chama ndipo Nchi itakaa sawa na mambo ya hovyo ikiwemo mauaji yatakoma

Kesi ipi ya Trump ni ya kisiasa?
Kwa nini Biden Rais aliye madarakani kajitoa kugombea urais wa Marekani?
Nini kinaendelea Ufaransa?
Mambo yapi sio shwari kwa Ujerumani?
 
Kesi ipi ya Trump ni ya kisiasa?
Kwa nini Biden kajitoa kugombea urais wa Marekani?
Nini kinaendelea Ufaransa?
Mambo yapi sio shwari kwa Ujerumani?
Zoooteeeee kabisa
 
Umeongea kitu cha maana. Pia Raisi asiwe mwenyekiti wa chama anachotoka. Kuwe na Mwenyekiti wa chama. Atakayetaka kugombea Uraisi awe mwanachama wa kawaida.
Raisi awe na mambo ya Serikali, mwenyekiti adeal na mambo ya chama.
 
Leo una akili timamu
 
Hivi kuitenganisha chadema na mbowe inawezekana kweli?
Nauliza swali tu jamani!
 
Serikali na chama vimeungana leo?.. palikua na utekaji na mauaji huko nyuma!?..kwanza kutenganisha hivyo viwili unamaanisha nini?
Kwa akili zako ndogo huwezi elewa mada iliyokuzidi uwezo hii.
 
Kesi ipi ya Trump ni ya kisiasa?
Kwa nini Biden Rais aliye madarakani kajitoa kugombea urais wa Marekani?
Nini kinaendelea Ufaransa?
Mambo yapi sio shwari kwa Ujerumani?
Mwambie hadi Biden ni Rais ila mtoto wake yuko Mahakamani ameshtakiwa. Marekani sio mapunguani kama sisi
 
Unawezaje kutenganisha chama chenye nchi na nchi

USSR
Ndo maana hata chama kinashindwa kumuwajibisha Mwanachama wake ambaye ni Rais pale anapo enenda kinyume za katiba ya Nchi. Maana anakuwa malaika ndani ya chama..hakuna wa kumgusq.
 
Naunga mkono 200%.
 
Umeongea kitu cha maana. Pia Raisi asiwe mwenyekiti wa chama anachotoka. Kuwe na Mwenyekiti wa chama. Atakayetaka kugombea Uraisi awe mwanachama wa kawaida.
Raisi awe na mambo ya Serikali, mwenyekiti adeal na mambo ya chama.
Hata akiwa mwenyekiti mambo ya chama yawekwe kando kwenye mambo ya Serikali.

Hawa watu wanapata kibuli cha kufanya huu udhalimu kwa sababu mfumo iliwaweka kuwa sehemu ya Serikali tangu kipindi cha chama kimoja.

Wakitenganishwa na Serikali watajua kuwa wao ni chama tu na mipaka yao inaishia kwenye chama chao tu!
 
KATIBA MPYA KATIBA MPYA.
SAMIA MALIZA SUALA LA KATIBA MPYA.
 
Nowadays unatema madini sana,

Kuna kitu kimekuudhi ndani ya mfumo,

Hongera Kwa kuwa mkweli japo Kuna gharama zake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…