Tukiyasimamia haya, mzawa angalau anaweza kujitetea kwenye harakati za utafutaji

Tukiyasimamia haya, mzawa angalau anaweza kujitetea kwenye harakati za utafutaji

mmsmo

Member
Joined
Oct 11, 2021
Posts
5
Reaction score
11
Kama usimamizi madhubuti ukitekelezwa na zoezi likawa endelevu. Mzawa anaweza kuona matunda ya rasilimali na fursa zilizomo nchini kwake anaweza kunufaika. Siyo haya yaliyokuwa yanaendelea mchina kuhodhi kila kitu na mzawa kujikuta ni mtazamaji.

Pia soma > Aina za biashara zilizopigwa marufuku kwa wageni wasio raia

IMG-20250731-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom