M mmsmo Member Joined Oct 11, 2021 Posts 5 Reaction score 11 Jul 31, 2025 #1 Kama usimamizi madhubuti ukitekelezwa na zoezi likawa endelevu. Mzawa anaweza kuona matunda ya rasilimali na fursa zilizomo nchini kwake anaweza kunufaika. Siyo haya yaliyokuwa yanaendelea mchina kuhodhi kila kitu na mzawa kujikuta ni mtazamaji. Pia soma > Aina za biashara zilizopigwa marufuku kwa wageni wasio raia
Kama usimamizi madhubuti ukitekelezwa na zoezi likawa endelevu. Mzawa anaweza kuona matunda ya rasilimali na fursa zilizomo nchini kwake anaweza kunufaika. Siyo haya yaliyokuwa yanaendelea mchina kuhodhi kila kitu na mzawa kujikuta ni mtazamaji. Pia soma > Aina za biashara zilizopigwa marufuku kwa wageni wasio raia