Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Pesa zipo, na kama hatua za kitalaamu zikichukuliwa ndani ya wiki tatu hali inaweza kutulia.Sasa tuseme nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa zipo, na kama hatua za kitalaamu zikichukuliwa ndani ya wiki tatu hali inaweza kutulia.Sasa tuseme nini?
Waanze kutafuta contacts za Pfizer tu.., sio kwa kila raia bali kwa watu vulnerables na wahudumu ambao wapo kwenye high risk
Kwa wali mabwana wadogo na immunity zao miili yao huenda ikapambana bila shaka...., hayo mengine kwa hawa jamaa walivyo na mzaha mzaha wa kibongo ni kudanganyana tu... Pia chonde chonde wapiga ramli n.k. tuoneane huruma wakati wa kipindi kigumu tusifanyane mitaji...
Hatujafikia huko.Hizo PPE Ni changamoto... Hiyo pesa ya kununulia chanjo ipo?
Labda WAHISANI wafanye MSAADA Kwa mkopo nafuu...
Pesa zipo, na kama hatua za kitalaamu zikichukuliwa ndani ya wiki tatu hali inaweza kutulia.
Serikali ya CCM inaona aibu kula matapishi yake.Tanzania yetu.
Kuna mmoja ni kama vile anatokea Njombe Kaskazini
Tuombe Mungu mawazo yako yaweze kusikilizwa kwani yaweza okoa taifa.Pesa zipo, na kama hatua za kitalaamu zikichukuliwa ndani ya wiki tatu hali inaweza kutulia.
Kweli hatujafika?Hatujafikia huko.
kwani ni mwanzo kwa sisi kujihudumia..., kwani hivi sasa matibabu si unajigharamia wewe na mimi kwa kutumia hii kitu tunayoiita BIMA..., hili li nchi tunaloambiwa tajiri kila siku pesa zake ni zakufanya nini kama linashindwa kuwahudumia raia wakeHizo PPE Ni changamoto... Hiyo pesa ya kununulia chanjo ipo?
Labda WAHISANI wafanye MSAADA Kwa mkopo nafuu...
Acha uhuniKama jusi, joto ya jiwe kwisa gundua
Hatujafikia hatua ya kushindwa kuhudumia wagonjwa na kuchukua hatua.Kweli hatujafika?
kwani ni mwanzo kwa sisi kujihudumia..., kwani hivi sasa matibabu si unajigharamia wewe na mimi kwa kutumia hii kitu tunayoiita BIMA hili li nchi tunaloambiwa tajiri kila siku pesa zake ni zakufanya nini kama linashindwa kuwahudumia raia wake
Hatujafikia hatua ya kushindwa kuhudumia wagonjwa na kuchukua hatua.
Mbona unaenda mbali? Kwani mlipuko wa kwanza ulipotokea walizikwa vipi?Pole sn, kwa upeo wako wa kufikiri...
Corona Ni ugonjwa wa mlipuko Kama Ebola au kipindupindu... Zipo taratibu za kuzika kwa waathirika wa Corona, je hz taratibu zinazingatiwa?
Hatujafikia hatua ya kushindwa kuhudumia wagonjwa na kuchukua hatua.
Ni mangapi tumekopa na tunakopa.., hata wakitoa ufadhili bado huenda ukaambiwa Uchangie..., unategemea hii serikali ya fursa itaacha kukusanya pesa kwenye hili ? Unadhani wakisema chanjo labda kwa toleo la kwanza ni elfu 50 kwa kichwa au laki na nusu kwa majaribio watu hawataweka rehani nyumba zao na wengine kuchangishana....Pole sn.. Fahamu kwamba dawa za tb, arv Ni gharama sn na zinatolewa bure kwa ufadhiri wa WAHISANI aka mabeberu...
Chanjo za corona Ni gharama usitegemee ukatwe ktk bima labda wahisani wafadhiri kwa mkopo...
Ndio maana nimesema hatua zichukuliwe, na kama mtu akipimwa akawa positive awe isolatedNi kweli Hadi Sasa serikali haitambui uwepo wa corona....
Wagonjwa wa Covd wanahudumiwa na ndugu zao majumbani na ikitokea kifo ndugu hao hao ndio wanajukumu la kuzika... Huoni kwamba hii Ni hatari Sana...
Kwa uelekeo tuliochagua sitarajii hilo kutokea kwamwe kwani siasa ndio mwamuzi wa yote hata Maisha yetu.Ndio maana nimesema hatua zichukuliwe, na kama mtu akipimwa akawa positive awe isolated
Ukileta siasa kwenye Covid ndio unaibika.Kwa uelekeo tuliochagua sitarajii hilo kutokea kwamwe kwani siasa ndio mwamuzi wa yote hata Maisha yetu.