Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #41
Tuko kwenye janga na unakatisha tamaa umma.Too late for contact tracing. Virusi vinapambana si mchezo. Sisi tuendelee tu na porojo mpaka mwezi upite uje utoe mrejesho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko kwenye janga na unakatisha tamaa umma.Too late for contact tracing. Virusi vinapambana si mchezo. Sisi tuendelee tu na porojo mpaka mwezi upite uje utoe mrejesho.
Tanzania yetu.
How?..sasa hivi kuna Tanzania ya Magufuli.
..hakuna Tanzania yetu tena.
Ya kule ugagikokoniHiyo unaongelea itekelezwe nchi gani hasa?
Anajitoa ufahamu tu, zipo mamlaka zenye mandate ya kutangaza hayo, yeye Kama Nani?Lugha gani iyo ume tumia kuandika maana serikari yetu hai helewi lugha kama izo
Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Tatizo ni huyo juha anayejiona mwenye akili kuliko wenzie wote duniani. Wakati wenzenu - ikiwa pamoja na mabeberu wanaowapa msaada - wakifanya maamuzi magumu, nyie mkafanya mzaha. Mkaleta siasa mahala panapohitaji sayansi. Naona sasa porojo za nyungu zimekufa kifo cha asili. Na hata mfalme juha ameacha kujigamba kuwa "tumeishinda Korona."Direct kwenye mada;
Kama kuna mtu ana dalili za Covid 19 apimwe na akiwa positive atengwe. Wasiachiwe ndugu kumtibu na kueneza ugonjwa zaidi.
Contact tracing ifanyike kubaini kama waliokuwa na muathirika nao wamepata maambukizi.
Kujitenga kufanyike kwa umakini hata kwenye majumba ya watu. Huku elimu kwa umma ikitiliwa mkazo. Maana elimu kwa umma ni muhimu.
Kunawa mikono,kutumia sanitizer kama hakuna maji na kuvaa barakoa iwe mandatory kwenye umma.
Muhimu pia kama ilivyokuwa mwaka jana kila wilaya itenge kituo maalumu cha matibabu.
Mwisho na muhimu kabisa ni kuanzisha tiba ya kisaikolojia kwa watanzania kupitia luninga kutoa watu hofu. Maombi na sara kwa nguvu kubwa. Tunaenda kushinda kwa nguvu ya Mungu.
Sijatangaza boss. Kasome ibara ya 18 (a) ya katiba ya JMT.Anajitoa ufahamu tu, zipo mamlaka zenye mandate ya kutangaza hayo, yeye Kama Nani?
Mwachieni mwenye nchi yake
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo tufanyeje? Limeshatokea la kutokea.Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Tatizo ni huyo juha anayejiona mwenye akili kuliko wenzie wote duniani. Wakati wenzenu - ikiwa pamoja na mabeberu wanaowapa msaada - wakifanya maamuzi magumu, nyie mkafanya mzaha. Mkaleta siasa mahala panapohitaji sayansi. Naona sasa porojo za nyungu zimekufa kifo cha asili. Na hata mfalme juha ameacha kujigamba kuwa "tumeishinda Korona."
Contact tracing unaifanyaje? Watu wangapi wanapima? Vipimo vipo mikoa mingapi hapa nchini? Hapo nakatishaje tamaa umma kwenye mtandao? Population yetu ni say +55m na humu wanaojadili mada na kutoa maoni ni watu wangapi?. Ni vema umekiri tuko kwenye janga. Ingependeza sana tusome mapendekezo ya namna ya kutoka kwenye kanga hilo ndiyo italeta maana zaidi.Tuko kwenye janga na unakatisha tamaa umma.
We pambana na hali yako huko kwa mabeberu. Ya watanzania waachie wenyewe. Kwani kila siku ni Ijumaa!Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Tatizo ni huyo juha anayejiona mwenye akili kuliko wenzie wote duniani. Wakati wenzenu - ikiwa pamoja na mabeberu wanaowapa msaada - wakifanya maamuzi magumu, nyie mkafanya mzaha. Mkaleta siasa mahala panapohitaji sayansi. Naona sasa porojo za nyungu zimekufa kifo cha asili. Na hata mfalme juha ameacha kujigamba kuwa "tumeishinda Korona."
Hapo sawa kabisa.Tujadili hii na siyo kutukana au kusifia au kulaumu.Kwa hiyo tufanyeje? Limeshatokea la kutokea.
Hufahamu contact tracing ipo vipi? Vipimo ni tatizo?Contact tracing unaifanyaje? Watu wangapi wanapima? Vipimo vipo mikoa mingapi hapa nchini? Hapo nakatishaje tamaa umma kwenye mtandao? Population yetu ni say +55m na humu wanaojadili mada na kutoa maoni ni watu wangapi?. Ni vema umekiri tuko kwenye janga. Ingependeza sana tusome mapendekezo ya namna ya kutoka kwenye kanga hilo ndiyo italeta maana zaidi.
Majibu mbona unayo mwenyewe. Kama ndugu wanamtibu mgonjwa na mpaka mgonjwa ajulikane kuwa kafa kwa covid 19 ameambukiza wangapi? Na kama anazikwa kawaida tu na watu hawachukui tahadhari unadhani wanaambukizwa wangapi? Unawa trace vipi?. Vipimo vya USD 100 wangapi wanaweza? Kitu gani kikuvute ukapime na hofu iliyopo?Direct kwenye mada;
Kama kuna mtu ana dalili za Covid 19 apimwe na akiwa positive atengwe. Wasiachiwe ndugu kumtibu na kueneza ugonjwa zaidi.
Contact tracing ifanyike kubaini kama waliokuwa na muathirika nao wamepata maambukizi.
Kujitenga kufanyike kwa umakini hata kwenye majumba ya watu. Huku elimu kwa umma ikitiliwa mkazo. Maana elimu kwa umma ni muhimu.
Kunawa mikono,kutumia sanitizer kama hakuna maji na kuvaa barakoa iwe mandatory kwenye umma.
Muhimu pia kama ilivyokuwa mwaka jana kila wilaya itenge kituo maalumu cha matibabu.
Mwisho na muhimu kabisa ni kuanzisha tiba ya kisaikolojia kwa watanzania kupitia luninga kutoa watu hofu. Maombi na sara kwa nguvu kubwa. Tunaenda kushinda kwa nguvu ya Mungu.
Sidhani kama serikali ikianza kupima raia wa kawaiba kubaini maambukizi kipimo kitagharimu usd 100. Kitakuwa bure. Nafikiri hili tatizo lipo sasa lakini ufuatiliaji ukianza itakuwa rahisi kutrace maana ni suala la taarifa. Wanalipia usd 100 wanaoenda nje kupata chetiMajibu mbona unayo mwenyewe. Kama ndugu wanamtibu mgonjwa na mpaka mgonjwa ajulikane kuwa kafa kwa covid 19 ameambukiza wangapi? Na kama anazikwa kawaida tu na watu hawachukui tahadhari unadhani wanaambukizwa wangapi? Unawa trace vipi?. Vipimo vya USD 100 wangapi wanaweza? Kitu gani kikuvute ukapime na hofu iliyopo?
Isiyo na korona!Hiyo unaongelea itekelezwe nchi gani hasa?
Ninaamini kabisa akisimama kiongozi wa nchi akasema na kuagiza watu wachukue tahadhari hata mtu wa kijijini atavaa barakoa,atanawa, na atahakikisha anakwepa mikusanyiko isiyo ya lazima. Sasa hivi tumegawanyika mno: Kuna wanaodhani haiwahusu hasa vijana. Kuna wanaodhani kuchukua hatua ni kutokuwa na imani na Mungu( si tuliomba mwanzo?). Kuna wanaojaribu kuchukua hatua nao wanaonekana kama watu wa ajabu. Lakini kiongozi akisema " Tuna Janga na siyo kama la mwanzo, tuchukue tahadhari" Utashangaa watu watakavyoitikia mpaka vichochoroni.Sidhani kama serikali ikianza kupima raia wa kawaiba kubaini mabukizi kipimo kitagharimu usd 100. Kitakuwa bure. Nafikiri hili tatizo lipo sasa lakini ufuatiliaji ukianza itakuwa rahisi kutrace maana ni suala la taarifa. Wanalipia usd 100 wanaoenda nje kupata cheti
wakate tamaa mara ngapi? kama tungekuwa serious since mwanzoni tungeanza kuudhibiti but nooo politics politics politics..Tuko kwenye janga na unakatisha tamaa umma.