Tuko kati ya janga,tuwe na moyo wa kishujaa. Hakuna kuhitaji lockdown tuchukue tahadhali kitalaamu

Hizo PPE Ni changamoto... Hiyo pesa ya kununulia chanjo ipo?
Labda WAHISANI wafanye MSAADA Kwa mkopo nafuu...
 
Hizo PPE Ni changamoto... Hiyo pesa ya kununulia chanjo ipo?
Labda WAHISANI wafanye MSAADA Kwa mkopo nafuu...
kwani ni mwanzo kwa sisi kujihudumia..., kwani hivi sasa matibabu si unajigharamia wewe na mimi kwa kutumia hii kitu tunayoiita BIMA..., hili li nchi tunaloambiwa tajiri kila siku pesa zake ni zakufanya nini kama linashindwa kuwahudumia raia wake
 
kwani ni mwanzo kwa sisi kujihudumia..., kwani hivi sasa matibabu si unajigharamia wewe na mimi kwa kutumia hii kitu tunayoiita BIMA hili li nchi tunaloambiwa tajiri kila siku pesa zake ni zakufanya nini kama linashindwa kuwahudumia raia wake

Pole sn.. Fahamu kwamba dawa za tb, arv Ni gharama sn na zinatolewa bure kwa ufadhiri wa WAHISANI aka mabeberu...
Chanjo za corona Ni gharama usitegemee ukatwe ktk bima labda wahisani wafadhiri kwa mkopo...
 
Hatujafikia hatua ya kushindwa kuhudumia wagonjwa na kuchukua hatua.

Pole sn, kwa upeo wako wa kufikiri...
Corona Ni ugonjwa wa mlipuko Kama Ebola au kipindupindu... Zipo taratibu za kuzika kwa waathirika wa Corona, je hz taratibu zinazingatiwa?
 
Pole sn, kwa upeo wako wa kufikiri...
Corona Ni ugonjwa wa mlipuko Kama Ebola au kipindupindu... Zipo taratibu za kuzika kwa waathirika wa Corona, je hz taratibu zinazingatiwa?
Mbona unaenda mbali? Kwani mlipuko wa kwanza ulipotokea walizikwa vipi?
 
Hatujafikia hatua ya kushindwa kuhudumia wagonjwa na kuchukua hatua.

Ni kweli Hadi Sasa serikali haitambui uwepo wa corona....

Wagonjwa wa Covd wanahudumiwa na ndugu zao majumbani na ikitokea kifo ndugu hao hao ndio wanajukumu la kuzika... Huoni kwamba hii Ni hatari Sana...
 
Pole sn.. Fahamu kwamba dawa za tb, arv Ni gharama sn na zinatolewa bure kwa ufadhiri wa WAHISANI aka mabeberu...
Chanjo za corona Ni gharama usitegemee ukatwe ktk bima labda wahisani wafadhiri kwa mkopo...
Ni mangapi tumekopa na tunakopa.., hata wakitoa ufadhili bado huenda ukaambiwa Uchangie..., unategemea hii serikali ya fursa itaacha kukusanya pesa kwenye hili ? Unadhani wakisema chanjo labda kwa toleo la kwanza ni elfu 50 kwa kichwa au laki na nusu kwa majaribio watu hawataweka rehani nyumba zao na wengine kuchangishana....

Kama hujui kifo chungulia kaburi mdau.....
 
Ni kweli Hadi Sasa serikali haitambui uwepo wa corona....

Wagonjwa wa Covd wanahudumiwa na ndugu zao majumbani na ikitokea kifo ndugu hao hao ndio wanajukumu la kuzika... Huoni kwamba hii Ni hatari Sana...
Ndio maana nimesema hatua zichukuliwe, na kama mtu akipimwa akawa positive awe isolated
 
Too late for contact tracing. Virusi vinapambana si mchezo. Sisi tuendelee tu na porojo mpaka mwezi upite uje utoe mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…