Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

Pole sana ila usijali mimi hadi watoto walikua wanalia mama tunaenda kulala na baba. Maana waliona kabisa nilivyokua mpweke. Ondoka kabla hujaleta msiba mwingine best.

Nashukuru sasa niko single naenjoy
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ila humu Kuna visa , kwahiyo mzee ulikuwa unatengwa na wife,, aahhh kmmk ndoa zitakuja kuwatoa Roho
 
Kwa familia zetu za kiswahili usikute hao kina binamu walikuwaga wanamtomba zamani na ndio walimtoa bikra zote ndio maana anawajali kuliko wewe[emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] God forbid
 
Kwema wazee?

Tuko ukweni huku msibani, wife kafiwa na babu yake. Ila hapa msibani pameshanishinda na natamani kurudi zangu kwangu, yaani wife ni kama hanijui vile, hajui nimekula au sijala, toka nije hii siku ya tatu sijaoga wala kubadilisha nguo, hajui nalala wapi na yeye ananiangalia tu.

Ila cha ajabu kuna majamaa naona wanaitana binamu anawahudumia vizuri hadi naona wivu, sema ndiyo hivyo siwezi kuhoji kwa sasa.

Nimepanga kesho wakishazika tu, nadandia roli la mnadani nasepa zangu hata wife simuagi, atanikuta Town.
Tafuta hela mkuu.
 
Kwani haunywi "divai"?Achana na kutaka kubembelezwa na wife msibani.Kama una hela nenda ukapige gambe.
 
Watu wana changa michango heavy msibani we unaenda mikono mitupu...mwaga crate 10 za beer hapo na carton 30 - 50 za maji alaf usiseme neno uone.....kama bado msiba una watu wengi agiza kiroba cha sukari na mchele. Wek ndani kwa mkwe hapo....usiongee lolote.

Mangi aje bana wewe. Kwetu uchaggani haya mambo hatuulizwi. Tunatenda Tu [emoji16]

Vyote hivyo haizidi 600K na haiumizi chochote cz ni kama umempa mkeo. Weka Heshima Hapo Acha Uzembe.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Dah
 
Back
Top Bottom