BravoZulu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2021
- 1,824
- 3,747
😂😂😂JF ikindelea na comment za namna hii Kuna siku tutamkuta mtu kajinyonga kwenye kikengere Cha notification hapo juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂JF ikindelea na comment za namna hii Kuna siku tutamkuta mtu kajinyonga kwenye kikengere Cha notification hapo juu
Me ningeondoka hapo hapo nilipogundua ananipuuza na simu namblock. Akija sitaki tuongee kilichotokea huko. Tufanye yeye alinikomoa na mimi nimekomoka basi.Kwema wazee?
Tuko ukweni huku msibani, wife kafiwa na babu yake. Ila hapa msibani pameshanishinda na natamani kurudi zangu kwangu, yaani wife ni kama hanijui vile, hajui nimekula au sijala, toka nije hii siku ya tatu sijaoga wala kubadilisha nguo, hajui nalala wapi na yeye ananiangalia tu.
Ila cha ajabu kuna majamaa naona wanaitana binamu anawahudumia vizuri hadi naona wivu, sema ndiyo hivyo siwezi kuhoji kwa sasa.
Nimepanga kesho wakishazika tu, nadandia roli la mnadani nasepa zangu hata wife simuagi, atanikuta Town.
Mkeo hajakutafuta tu mpaka sasa?Nimeingia usiku huu mkuu.
Haaaaa Haaaaa 😂Kabla hujaondoka fanya juu chini uibe simu yake bila kujua alafu soma yaliyomo
Kumbe ndo mana mkeo alikuwa anakudharauNimeoga mtoni leo mkuu, sijala mpaka sasa hivi.usafiri upo ila sina nauli mkuu,jamaa niliyemkopesha hajanilipa.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tumezika salama,nishadandia ndinga narudi town
Duh pole sana mkuu mbona Hana maana kabisaKwema wazee?
Tuko ukweni huku msibani, wife kafiwa na babu yake. Ila hapa msibani pameshanishinda na natamani kurudi zangu kwangu, yaani wife ni kama hanijui vile, hajui nimekula au sijala, toka nije hii siku ya tatu sijaoga wala kubadilisha nguo, hajui nalala wapi na yeye ananiangalia tu.
Ila cha ajabu kuna majamaa naona wanaitana binamu anawahudumia vizuri hadi naona wivu, sema ndiyo hivyo siwezi kuhoji kwa sasa.
Nimepanga kesho wakishazika tu, nadandia roli la mnadani nasepa zangu hata wife simuagi, atanikuta Town.
[emoji23]Ana matatizo huyu jamaa ukweni hawamtambui, ukute hajatoa mahari
Kama huna hela bas chukua hata jembe ukwangue vinyas nyas hapo ukwen
Na mda wa kutumwa uwe unakuwa jiran ili utumwe dukan au hata kuchota maji
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1487][emoji1487][emoji1487]JF ikindelea na comment za namna hii Kuna siku tutamkuta mtu kajinyonga kwenye kikengere Cha notification hapo juu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bwana kyagata natumai msiba ulisha isha na umesharudi kwako unaugulia maumivu
pole sana
Fuso ulilo lidandia lilikufikisha bila shida?Nimeingia usiku huu mkuu.