Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

[emoji1][emoji1] unataka kila mtu abutue kwa experience ya mama ako alivyobutuliwa ukapatikana[emoji1][emoji1]
Nimechokoza nyuki kusudi sasa acha nipate nundu, kila mmoja afaidi apendavyo mi nabutua tu na buzza kama sheria, acha tubutuane tu kisha tuendelee na mengine
 
Kwema wazee?

Tuko ukweni huku msibani, wife kafiwa na babu yake. Ila hapa msibani pameshanishinda na natamani kurudi zangu kwangu, yaani wife ni kama hanijui vile, hajui nimekula au sijala, toka nije hii siku ya tatu sijaoga wala kubadilisha nguo, hajui nalala wapi na yeye ananiangalia tu.

Ila cha ajabu kuna majamaa naona wanaitana binamu anawahudumia vizuri hadi naona wivu, sema ndiyo hivyo siwezi kuhoji kwa sasa.

Nimepanga kesho wakishazika tu, nadandia roli la mnadani nasepa zangu hata wife simuagi, atanikuta Town.
Nyie wajita sijui waikizu mna matatizo sana. Msibani mtafutane ili iweje?😡. Huna hata uwezo wa kununua jeneza la kumsitiri babu utambulike ili iweje?
 
Kwema wazee?

Tuko ukweni huku msibani, wife kafiwa na babu yake. Ila hapa msibani pameshanishinda na natamani kurudi zangu kwangu, yaani wife ni kama hanijui vile, hajui nimekula au sijala, toka nije hii siku ya tatu sijaoga wala kubadilisha nguo, hajui nalala wapi na yeye ananiangalia tu.

Ila cha ajabu kuna majamaa naona wanaitana binamu anawahudumia vizuri hadi naona wivu, sema ndiyo hivyo siwezi kuhoji kwa sasa.

Nimepanga kesho wakishazika tu, nadandia roli la mnadani nasepa zangu hata wife simuagi, atanikuta Town.
Kwa familia zetu za kiswahili usikute hao kina binamu walikuwaga wanamtomba zamani na ndio walimtoa bikra zote ndio maana anawajali kuliko wewe[emoji1787]
 
Ndoa yenu au mapenzi yenu bado ni machanga/ mwenzako anaona aibu kuwa karibu na wewe huko, labda kutokana na hali ya kiuchumi/muonekano wako; kwa sababu huko binti anakutana na aliokuwa nao toka utotoni, kwa hiyo anaringanisha mpenzi wa fulani yukoje na wake yukoje! Kwa kifupi, huyo sio wa kumtegemea sana, kama una nafasi tafuta mke mwingine
Umeongea kama ukweli flani aisee,ukweli unaouma.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huyo wife wako hana kaka zake au ndugu zake wakiume kama vipi jichanganye na masela
Inategemea kama mashemeji wenyewe mamende akijichanganya tu anapigwa mboo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tafuta kazi ya kufanya nduguyangu. Kama unapata muda wa kwenda msibani siku tatu kabla ya kuzika na bado upo huko, upo free sana. Ndo maana hawakuoni na wanakuchukulia poa kuanzia mkeo hadi nduguzake plus wakwezako. Kwa lugha nyepesi ni kwamba hata usingeenda kabisa wala hakuna ambae angeuliza upo wapi
 
Binamu kavaaje na wewe umevaaje au umeenda Kama umefiwa wakati msiba sio wako wamkeo.......binamu kamili hamtafuni Ila binamu kamili kaunfanishwa na mtafunaji namtafunaji anamkwanja. Zika uondoke
 
😂😂😂ila ushauri wa humu unatia kichwa moto

Huwa unamtia vizuri?

Yupo na Ma-Ex wake wanaomkojoza

Unasepa binamu anaitumia mpaka arobaini iishe

Zamu ya mabinamu kuhudumiwa

😂😂😂
JF ikindelea na comment za namna hii Kuna siku tutamkuta mtu kajinyonga kwenye kikengere Cha notification hapo juu
 
Back
Top Bottom