Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nacheka kama mazuri wewe liwahi hilo lori la mnadani
 
Sema kazingua sana, msibani kwa babu wa mkewe anakaa mda wote huo. Kama nimesoma vzuri hapo anahesabu siku tatu mbele ndo mazishi, si atakaa mpaka arobaini [emoji1]
Afu hajaoga,ukurutu unamuhusu safari hii
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ila ushauri wa humu unatia kichwa moto

Huwa unamtia vizuri?

Yupo na Ma-Ex wake wanaomkojoza

Unasepa binamu anaitumia mpaka arobaini iishe

Zamu ya mabinamu kuhudumiwa

[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwamba kauliza una uhakika Ni mkeo huyo[emoji23][emoji23]
 
Watu wana changa michango heavy msibani we unaenda mikono mitupu...mwaga crate 10 za beer hapo na carton 30 - 50 za maji alaf usiseme neno uone.....kama bado msiba una watu wengi agiza kiroba cha sukari na mchele. Wek ndani kwa mkwe hapo....usiongee lolote.

Mangi aje bana wewe. Kwetu uchaggani haya mambo hatuulizwi. Tunatenda Tu [emoji16]

Vyote hivyo haizidi 600K na haiumizi chochote cz ni kama umempa mkeo. Weka Heshima Hapo Acha Uzembe.
Halafu na bado wachaga mnagongewa kinona.
 
Nikisikia habari sijui kisokolokwinyo kinguchiro Kinaitwa wife nawashangaa mnaoaje hawa nguchiro visodokwembe hawa unabutua basi, unaanzaje kuoa Ubaharia mtausikia tu.
Visodokwembe,vinguchiro,visokolokwinyo!Khaaaaa hatari 🤣
 
Kaka acha wivu.wifi ana uchungu na mumewe mkubwa acha amlilie kwanza
 
Kwema wazee?

Tuko ukweni huku msibani, wife kafiwa na babu yake. Ila hapa msibani pameshanishinda na natamani kurudi zangu kwangu, yaani wife ni kama hanijui vile, hajui nimekula au sijala, toka nije hii siku ya tatu sijaoga wala kubadilisha nguo, hajui nalala wapi na yeye ananiangalia tu.

Ila cha ajabu kuna majamaa naona wanaitana binamu anawahudumia vizuri hadi naona wivu, sema ndiyo hivyo siwezi kuhoji kwa sasa.

Nimepanga kesho wakishazika tu, nadandia roli la mnadani nasepa zangu hata wife simuagi, atanikuta Town.
Jmn ila wanawake wamekutwa na nn jmn,mbona siwaelewi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ila ushauri wa humu unatia kichwa moto

Huwa unamtia vizuri?

Yupo na Ma-Ex wake wanaomkojoza

Unasepa binamu anaitumia mpaka arobaini iishe

Zamu ya mabinamu kuhudumiwa

[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan Kuna mtu atazuiwa kwenda misibani
 
Nimepanga kesho wakishazika tu,nadandia roli la mnadani nasepa zangu hata wife simuagi,atanikuta Town.


Tatizo limeanzia hapo kwenye ukitaka kuondoka "utadandia roli la mnadani".


Nunua hata ki-passo cha kuzugia mkuu[emoji3][emoji3]
Hata Cha mkopo tuuu
 
Back
Top Bottom