Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

Kafiwa na babu we ulienda kufanya nn...siku 3 bila kuoga msiba wa babu yake wife? Akifiwa na baba ake si ndo utakaa mpaka waanue matanga? Kweli mwanaume usipokuwa mwanaume unaliwa na wanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie tunacheka kama mazuri.
Na uzi ameutelekeza, au ndio yupo kwenye lori anarudi mjini. [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Yaan msiba wa babu yake nawe unaenda?,,,yaan ingekuwa mm hata nisingeenda aisee
 
Ushamba mzigo mnama endelea kujikomba Kwa wakwe labda kama unatafuta kiamba au unafaidika kupitia wakwe

Mi na wewe nani mshamba ?? Acha uboya wewe tekeleza majukumu yako. Nigombee Vihamba babu yangu mzaa baba kaacha mashamba kibao Old Moshi (tho asili yetu ni Marangu) achilia mbali vipande babu mzaa mama alivyowapa wajukuu wa jina lake huko Old Moshi (nikiwemo na mimi)

Sijataja maeneo baba yangu mzazi anayo miliki ambayo hata sina muda nayo......HaHaHa sasa we jua sound.

Tafuta Hela Dogo, Ipo heshima sana ukiwa mchagga alaf una hela...Wanawake Wa kichagga hawapendi / hudharau sana wanaume Lege Lege / Wazembe.

Sasa we lemaa kama hujatombew@, wenzako wanachangia matumizi ya msiba na huenda hata kula asile hapo akala sehem nyingine mtu unanyimwa slice za mikate unakuja lalama humu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ndoa yenu au mapenzi yenu bado ni machanga/ mwenzako anaona aibu kuwa karibu na wewe huko, labda kutokana na hali ya kiuchumi/muonekano wako; kwa sababu huko binti anakutana na aliokuwa nao toka utotoni, kwa hiyo anaringanisha mpenzi wa fulani yukoje na wake yukoje! Kwa kifupi, huyo sio wa kumtegemea sana, kama una nafasi tafuta mke mwingine
 
Msiba ukweni umeenda kulala huko Siku tatu Mkuu? Huna kazi za kufanya?
 
Kafiwa na babu we ulienda kufanya nn...siku 3 bila kuoga msiba wa babu yake wife? Akifiwa na baba ake si ndo utakaa mpaka waanue matanga? Kweli mwanaume usipokuwa mwanaume unaliwa na wanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23] si ameomba ushauri ndo umseme
 
Back
Top Bottom