Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

WAOAJI wengi mnalia lia sanaaaa siku hizi,,, na nikisema Acheni KUOA,,, mnaniona Kenge.

Inaonekana wanaume sasa wameanza tabia za kudeka deka,, mnataka mambo ya kike,, mtu yuko msibani bado unataka akupetipeti,,, ili iweje.!?? Badala wewe ndio uwe nae karibu vile yeye ndio kafiwa. Dume zima unataka mfiwa akuhudumie...

Be a man,,, fanya kilicho kupeleka,,achana na yasiyokuhusu ya wife na binamu zake....

BUT ukiona mara nyingi una hisia kuwa mabinamu wanakula wife,, basi 90% huwa ni kweli...Zika Ondoka nae
 
Unaonekana wewe n jobless,mtu kafiwa na babu yake wewe unaenda kuanzia siku ya kwanza ili nn?nenda siku ya kuzika then sepa,,akifiwa na mzazi ndo kidogo utawah mbn unajipa umuhimu kaka

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sisi wengine hatuna haja ya kujikomba Kwa mtu usiponichukulia WA muhimu kwako Mimi wala sijali naangalia familia yangu na watoto wakwe kwangu ni watu wa mbali kabisa mtu ana uzao wake wabebe Mambo Yao nyie ndyo mnapewa viwanja na wakwe alafu mnakimbilia kujenga siku mnagombana na mkeo unafukuzwa kama mbwaa wakwe siyo ndugu zako ata kama umeowa kwao wele ni wapita njia kama wapita njia wengine tu alafu mnama angalia familia yako achana na mbwembwe za wachaga washamba mm ni mchaga pure lea wazee wako watu wa pembeni wasikutishe na mbwbwe za mwezi wa 12

HaHaHa Blaza Povu La Nini

Nani kasema sihudumii familia yangu na wazazi wangu ?? Mimi nitahudumia wazazi, wakwe na watoto sio unakaa kifa.la fa.la tu......wadau wameuliza hapa msiba wa babu mkwe mdau anawahi msibani kufanya nn ?? Jibu ni moja mkali hana shughuli / mishe / hela.....

HaHaHa Kazana Kijana, Usipokua Na Hela Utadharauliwa Hadi Na Watoto Wa Ndugu Zako.
 
Kwema wazee?

Tuko ukweni huku msibani, wife kafiwa na babu yake. Ila hapa msibani pameshanishinda na natamani kurudi zangu kwangu, yaani wife ni kama hanijui vile, hajui nimekula au sijala, toka nije hii siku ya tatu sijaoga wala kubadilisha nguo, hajui nalala wapi na yeye ananiangalia tu..ila cha ajabu kuna majamaa naona wanaitana binamu anawahudumia vizuri hadi naona wivu, sema ndiyo hivyo siwezi kuhoji kwa sasa.

Nimepanga kesho wakishazika tu, nadandia roli la mnadani nasepa zangu hata wife simuagi, atanikuta Town.
mbona unachelewa ondoka haraka kwani unataka mpaka uwafume na hao mabinamu zake ndiyo ujue?
 
HaHaHa Blaza Povu La Nini

Nani kasema sihudumii familia yangu na wazazi wangu ?? Mimi nitahudumia wazazi, wakwe na watoto sio unakaa kifa.la fa.la tu......wadau wameuliza hapa msiba wa babu mkwe mdau anawahi msibani kufanya nn ?? Jibu ni moja mkali hana shughuli / mishe / hela.....

HaHaHa Kazana Kijana, Usipokua Na Hela Utadharauliwa Hadi Na Watoto Wa Ndugu Zako.
Ushamba mzigo mnama endelea kujikomba Kwa wakwe labda kama unatafuta kiamba au unafaidika kupitia wakwe
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nyie tunacheka kama mazuri.
Na uzi ameutelekeza, au ndio yupo kwenye lori anarudi mjini. 🤣
Kasema hadi wakizika, au kasusia mazishi kasepa jana ile ile usiku🤣🤣🤣
Wacha tusubiri mrejesho kama atakuja
 
Watu wana changa michango heavy msibani we unaenda mikono mitupu...mwaga crate 10 za beer hapo na carton 30 - 50 za maji alaf usiseme neno uone.....kama bado msiba una watu wengi agiza kiroba cha sukari na mchele. Wek ndani kwa mkwe hapo....usiongee lolote.

Mangi aje bana wewe. Kwetu uchaggani haya mambo hatuulizwi. Tunatenda Tu [emoji16]

Vyote hivyo haizidi 600K na haiumizi chochote cz ni kama umempa mkeo. Weka Heshima Hapo Acha Uzembe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom