Hongera BWANA YESU KRISTO AKUBARIKIKWA hali ya sasa naachajr mkuu
MUNGU NDIE kila kitu mkuu Wacha tumtumikie
Tunakuja na sadaka?MUNGU YUPO ANAZIDI KUONEKANA KARIBUNI UKUMBI WA TANZANITE KMR KOROGWE
KWA AJILI YA MAOMBI YA KUFUNGA MWEZI MZIMA
Hujawahi chapia kwenye ufundii wakooopdidy,
Kila ukiandika unachapia.
Hebu tueleze unafanya makusudi au?
Kwa huduma za ufundi karibu.
0756244608
0655173113
View attachment 3404627
Tunamshukuru Bwana kwakweliPdidy umeokoka?
Basi hiyo ni karama ya Kitume, ndo huwa wanahama hama ...Nahisi wikiijayo TUKO TABATA tutawajulishaaaa...dah YAAN ibada imekuwa kama bendi ya twanga pepetaa Leo TUKO kmr kesho KOROGWE kutwa tabataaa loh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂