G
guest-1790917349
Guest
HakikaKWA hali ya sasa naachajr mkuu
MUNGU NDIE kila kitu mkuu Wacha tumtumikie
HakikaKWA hali ya sasa naachajr mkuu
MUNGU NDIE kila kitu mkuu Wacha tumtumikie
Ametenda jambo kubwa sanaTunamshukuru Bwana kwakweli
TawileerrBasi hiyo ni karama ya Kitume, ndo huwa wanahama hama ...
Yes utumishi uko tofauti sa lzm ujue we uko kwenye kipi na maelekezo Yako ya namna ya kutumika ...Tawileerr
Nimekumbuka SHEMEJI Yangu askofu alimwoa dada Yangu akaanza dar hee KAENDA MBEYA hea KAENDA MWANZA NKAENDA safari kidogo Nje kurudi NAAMBIWA yukooooo tundumaaa la kwanza nkauliza Badoo Yuko na dadayanguu ama aisee hizi KAZI za kitumeee kazinikunakaziii😂😂😂😂😂😂😂unaweza hisi operesheni bomoa ndoa imekujia
Kulikuwa na member kila uzi lazima yeye ndo wakwa kukoment kila post siku hizi yupo jukwaa la michezo kwa sana.Hivi Kuna member mwingine active kama pdidy kwa wale waanzilishi wa jf!?
Amina tutakuja
Bana asifiwe atumishiMUNGU YUPO ANAZIDI KUONEKANA KARIBUNI UKUMBI WA TANZANITE KMR KOROGWE
KWA AJILI YA MAOMBI YA KUFUNGA MWEZI MZIMA
🙆🙆🙆🙆Hujawahi chapia kwenye ufundii wakooo
Bado hamfikii yule min me na joseverit ni WA juzi jamaa ni WA 2007 tangu hajui kuandika vema hadi leoKulikuwa na member kila uzi lazima yeye ndo wakwa kukoment kila post siku hizi yupo jukwaa la michezo kwa sana.