mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,858
Hongera mleta mada. Nikikumbuka maisha kabla ya 80z.wababa walikuwa wengi ni wakali sana. Nakumbuka families nyingi wamama walinyanyasika sana na waume zao lakini hawakuwahi kukata tamaa na kuwakimbia waume zao...kwa ufupi uvumilivu wa mama kwenye familia ndy kiboko cha Lucifaer uliemtaja hapa. Lucifer hupambana na mwanamke mda wote. Akimuwin family tayar chali.
Ushaur hapa ni kuwaasa wamama wawe wavumilivu kulinda family zao basi.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Ushaur hapa ni kuwaasa wamama wawe wavumilivu kulinda family zao basi.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app