Ni meza yenye vinywaji ghali ukionekana unataka kuitikisa wata deal na wewe,
mfano ni Yanga alitaka kudiriki kutikisa meza, chap akashughulikiwa.
Mwaka jana Yanga alifika fainali ya shirikisho lakini ikawa ni heshima kubwa sana, Hapa nchini hakuna timu iliyowahi kufikia fainali ya kombe la kwanza au la pili kwa uzito kwa Caf (mabingwa wa haya makombe hucheza super cup)
Tuanze kwanza kujaza vikombe vya shirikisho, Yanga na Simba zinaweza kwa sasa, hatua kwa hatua na sisi tutafute wanyonge wenzetu, huu ndio muda mzuri maana kesho haieleweki wadhamini wanaweza kubadilika timu zikawa hazina uwezo kama wa leo.