eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
-
- #121
Ingia YouTube mkuu utajua kwa nini mtu akifanya kitu cha maajabu anaambiwa umecheza kama pele na sio kama maradona au messiHuu mchezo cheza kama pele ulitikea wap??
Acha maneno weka data za messi na maradona hapa tuoneTakwimu, takwimu, takwimu! Ili takwimu ziwe na maana Mpira wa 1956 pamoja na sheria zake, uimara wa timu pinzani na mbinu za mchezo za wakati huo basi ziwe sawasawa na za wakati huu unapotaka kumlinganisha Pele na wengine wa wakati huu. Kinyume chake unaweza kukuta Pele alishapitwa na wengi kimpira. Takwimu, takwimu, takwimu!
Kama humjui pele si unyamaze tuHana jipya Pele. Alikuwa anavizia
Ina maana kusoma kwako kote umeona magoli tu hapo
Ingia YouTube kisha urudi hapa
Cwezi kuwa kilaza kwa kutomkubali Pele. Kaka jifunze kupokea mtazamo tofauti, usinilazimishe Mawazo yako niyapende. Pele anabebwa tu
Kama humjui pele si unyamaze tu
Kama unaambiwa nenda youtube ukamtazame hutaki tukusaidie nini sasa
Utachekwa bure ukisema pele ni mviziaji yaani unaonekana kilaza kabisa
Maradona tenaPele nimemcheki youtube maradona nimemcheki youtube. Maradona kamzidi mbali sana Pele labda kwa magoli tu, kuhusu makombe ile ilikuwa ni teamwork ukilinganisha argentina ya kipindi hicho Maradona ndie alikuwa jeshi la mtu mmoja. Ukija kwa King Messi bado sijaona wa kufananishwa nae kwa kila kitu.
Messi namkubali sana na lazima ujue mimi ni shabiki wa messi damu ila kwa pele nitakuwa mkweli messi amejaribu kuiga kwa pele ila bado sanaUmeona mkuu. Jamaa tatizo lake analazimisha wadau wamkubali kutokana na chuki zake dhidi ya Messi ambae hana mpinzani mpaka now. Hilo analijua sana except ataendelea kubisha tu ππ watu wa hivi huwa hawakosekani tushawazoea
Unakijua kikosi alichocheza nacho maradona fainali za 1986Pele nimemcheki youtube maradona nimemcheki youtube. Maradona kamzidi mbali sana Pele labda kwa magoli tu, kuhusu makombe ile ilikuwa ni teamwork ukilinganisha argentina ya kipindi hicho Maradona ndie alikuwa jeshi la mtu mmoja. Ukija kwa King Messi bado sijaona wa kufananishwa nae kwa kila kitu.
Messi namkubali sana na lazima ujue mimi ni shabiki wa messi damu ila kwa pele nitakuwa mkweli messi amejaribu kuiga kwa pele ila bado sana
Maradona tena
Duh mara messi mara maradona
Which is which
Ndo maanake Messi ni wa sayari ingine bhana..Cha ajabu kuna watu watakuja kumpamba anduje
Ficha ujinga wakoEdson Erantes do Nacimento Pelle kwa faida ya wasiojua jina lake kamili.
Pelle kwa messi ni kilaza tu
Ficha ujinga wako