Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali dogo na jepesi offside rule imeanza mwaka gani mkuu, usisikilize story za vijiweni mkuu,Not to take anything away from Pelle ila tukumbuke hakukuwa na offside rule miaka yake, bila offsides goal-poachers kama Inzaghi, Crespo, R9 wangekua na magoli karibu au zaidi ya hayo.
Offside rule imekuwa ikifanyiwa amendment every now and then, offsides za miaka hii na miaka ile ni tofauti. There was literally no offsides miaka yao.Swali dogo na jepesi offside rule imeanza mwaka gani mkuu, usisikilize story za vijiweni mkuu,
Mie pele nimemfatilia hakuwa mchezaji wa kuvizia na kufunga, alikuwa ni mtu wa kukusanya kijiji, anakusanya kijiji, lubambawe, anawakusanya wa nanjilili, sijui kisarawe, anaenda kuwaacha kolomije halaf ndio anatupia mpira wavuni.
Bado hujajibu swali, offside rule imeanza mwaka gani, hili ndio swali la msingi.Offside rule imekuwa ikifanyiwa amendment every now and then, offsides za miaka hii na miaka ile ni tofauti. There was literally no offsides miaka yao.
Alikuwa mchezaji mzuri sana tu na sipingi kuhusu kukusanya kijiji ila kutokuwepo kwa offsides kulimpa magoli mengi zaidi.
Sasa wewe kwa mpira aliokuwa anacheza pele hiyo offside itatoka wapi maana alikuwa anatoka katikati ya uwanja mpaka anaenda kufunga baoOffside rule imekuwa ikifanyiwa amendment every now and then, offsides za miaka hii na miaka ile ni tofauti. There was literally no offsides miaka yao.
Alikuwa mchezaji mzuri sana tu na sipingi kuhusu kukusanya kijiji ila kutokuwepo kwa offsides kulimpa magoli mengi zaidi.
Bado hujajibu swali, offside rule imeanza mwaka gani, hili ndio swali la msingi.
Sasa wewe kwa mpira aliokuwa anacheza pele hiyo offside itatoka wapi maana alikuwa anatoka katikati ya uwanja mpaka anaenda kufunga bao
Kasi, chenga maridhawa, miguu kama sumaku ya mpira, jicho la kuliona goli kutoka mbali au karibu acha tu mkuu nakosa namna ya kumuelezea
Ingia youtube umtazame na umlinganishe na huyo maradona au messi au yeyote hutaona kama yeye
Swadakta mpira ule ilikuwa kama vita wachezaji walaini haikuwa sehemu yao ilitakiwa uwe nunda sugu na fundi pia haikuwa lelemama. Gwiji la kiargentina huyu Alfred di stefano aliutambua uwezo wa edson akiwa na Francisco gento na Maria zarraga walifanya yao.Na gwiji wa madrid fundi di stefano.. Na balaa lake lote alikubali pele si wa dunia hii..
Offside rule ilianza kutumika rasmi 1990 miaka 13 baada ya Pelle kutandika daluga. Mwaka 2003 na 2005 ilifanyiwa marekebisho tena.
Pelle anahesabu hadi magoli aliyofunga kwenye unofficial games mathalani magoli aliyofunga wakati akiwa coastal guard kitu ambacho players wengine hawafanyi hususan miaka hii
Pamoja na goal ratio yake kuwa incredibly amazing ila hakuwahi kuwa mfungaji bora wa world cup hata mara moja.
Watu hawaangalii ugumu waliopitia watu, watu wamecheza katika viwanja vibovu, sheria haziwalindi kwa kias kikubwa eti siku hizi mchezaji anavutwa jez penat[emoji23] [emoji23]Swadakta mpira ule ilikuwa kama vita wachezaji walaini haikuwa sehemu yao ilitakiwa uwe nunda sugu na fundi pia haikuwa lelemama. Gwiji la kiargentina huyu Alfred di stefano aliutambua uwezo wa edson akiwa na Francisco gento na Maria zarraga walifanya yao.
Hivi unafikiri ni rahisi kwa wazungu kuamua kusema pele (black), kuwa ndiyo number moja???,, Ujue kuna kitu cha ziada alikuwa nacho,, na takwimu si hizo hapo??, Mbona hakuna mwingine kazifikia hata huko santos??Messi ni zaidi ya Pele. Sidhani kama Pele angekatiza mbele ya Rio Ferdinand ktk ubora wake.
Pele hamna kitu, alicheza na MIZEE enzi hizo alafu mpira wake hata kwa kuuangalia haina mvuto wowote. Anabebwa sana huyu jamaa. Maradona pia kamuacha mbali sana Pele.
Hata baada ya miaka 50-60, akitokea mchezaji mwingine bora, wataanza kusema messi alikuwa anapiga chenga anaangaliwa tu,, binadamu hawakosagi sababuHuyo Pele, ni wa miaka ileee! Kwa kizazi cha sasa, aje Pele yule yule, hataweza kutamba kama vile.
Ile, kupiga chenga kutoka katikati ya uwanja mpaka goli la mpinzani unaangaliwa tu, kwa sasa ni nadra sana!
Ila ki-burudani, sijamuona kama GAUCHO na ZIZOU!
Uko deepMpira ulikuwa wa kibabe wachezaji mashahuri walikuwa hawalindwi kama sasa hivi ilikuwa mbadembade. Tunavyo mzungumzia Pele ni ngumu kutuelewa namna mpira ulivyokuwa na umepita katika vipindi gani. Leo ukitaja enzi za miaka ya sitini utaambiwa ilikuwa enzi ya Pele japo palikuwa na wachezaji wengine mahiri kama Eusebio (mkuu )kina jack na bobby Charlton huku Hungary wakiwa na ferenc puskas lakini bado nyota ya Pele iling'aa achilia mbali hapo hapo brazil walikuwapo wakali kama garrincha tostao akina revelino Didi Carlos Alberto na wengineo. Kikaja kizazi cha sabini hiki kilihusisha johan cruffy nae alikuwa na waqt wake ingawa nyota wengine kama gurd muller akina sapp meir na wengine wengi. Kisha zikaja zama za 80 hizi zilikuwa za Diego ingawa kulikuwa na manguli wengi kina Karl heinze rumminiga na kina claudio canigia lakini nyota ya Diego iling'ara .
Pamoja sana ndugu yanguUko deep
Pana kitu ilikuwa inaitwa uruguay hapo palikuwa patamu mguu wa roho mguu wa shingoWatu hawaangalii ugumu waliopitia watu, watu wamecheza katika viwanja vibovu, sheria haziwalindi kwa kias kikubwa eti siku hizi mchezaji anavutwa jez penat[emoji23] [emoji23]
Football is not for ballerinasPana kitu ilikuwa inaitwa uruguay hapo palikuwa patamu mguu wa roho mguu wa shingo
Mpira wa sasa hauvutii kabisa mabeki hakuna siku hiziPele ni mchezaji hodari kwa wakati wake, Mpira wa zamani si sawa na wa leo. Sheria za mpira wa zamani si sawa na za sasa. Zamani wachezaji walicheza mpaka wakiwa wazee. Siku hizi miaka 35 unakuwa shaibu.
Mkuu unamaanisha au!Mpira wa sasa hauvutii kabisa mabeki hakuna siku hizi
Pele ukibahatika kuona vidio zake na za wachezaji wengine utakiri mwenyewe kuwa hakuna kama pele kwa sasa labda miaka 50 ijayo huko