fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
- Thread starter
-
- #41
huu ni uzi ambao hautoi ushauri,bali huchochea mjadala ili kupata maoni mengi zaidi juu ya somo hiliUshauri wako tufanyeje mkuu
ha ha haWewe si unatafuna wa wenzio huku ukijua kaa kimya ya nini kupiga mayowe!
shukranisasa ndugu yangu yaani ugonge kabao kamoja tena kwa tabu sana kwa mwezi mara mbili, kabao kenyewe sekunde 20 demu asiende kutafuta wa kumsugua vizur nje kweli?
anyway, hicho ni kibwagizo tu ndugu mtoa hoja [emoji205]
Wanandoa,
kumbuka mnakula vizuri sana, mnalala na kupumzika pazuri na vya kutosha hiyo energy mnayogain inachochea mwili kuzalisha homone za kuhitaji sex ya nguvu [emoji205]
Pole sana wanaume,
wengi kwenye ndoa wanamaradhi mathalani sukari, shinikizo la damu, stress n.k vitu ambavyo vinatatiza uzalishaji wa homone za kutosha na kumpelekea awe na hamu na mbususu [emoji205]
Lakini for sure wake za watu wengi tunawatafuna sana kirahisi mtaani kuanzia mida ya saa3 had saa7 mchana wanarudi home mapema..
Wanadai hiyo kitu mwingine anasema mwezi wa 3 hajaiona mwingine wiki ya 4 , mwingine anasema anafanywa na vidole tu malalamiko ni mengi...
kwa hayo machache na mengi naunga mkono hoja, [emoji205]
Ili iwe nini? Ili wanawake tutukanwe weeee usikie raha?huu ni uzi ambao hautoi ushauri,bali huchochea mjadala ili kupata maoni mengi zaidi juu ya somo hili
Sent using Jamii Forums mobile app
ndoa huwezi kuikataaBusara sio kukaa kimya, busara ni KUKATAA NDOA
Naomba nisikujibu usijesema nimekutukana.unadhani kuna mwanamke ambae hana elements za kimalaya?,pili kuliwa nje kuna sababu nyingi sio umalaya tu,labda kama hujausoma uzi wangu vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
ndoa ni muhimu sana licha ya hayo yote,kugongewa kupo toka enzi na enzi,pengine hata sisi sio watoto wa baba zetu,yawezekana mama zetu waligongwa njeDaah hapa unazidi kuwauzi wazee wa kataa ndoa..wanapigilia nyundo kabisa msemo wao..KATAA NDOA ENJOY MAISHA ALONE
dronedrakeKATAA NDOA