Tukubali au tukatae, wake zetu huliwa nje ya ndoa

Tukubali au tukatae, wake zetu huliwa nje ya ndoa

Duuh...aisee umenikumbusha juzi nili take risk moja mbaya sana na kama UKIMWI ningeukwaa siku hiyo kwa uzembe wangu.

December mwishoni 2023 nilisafiri kwenda mkoani (mkoa X) kwa ajili ya sikukuu na kuwaona wazee.

Kwa sababu ni mbali na Dar, hivyo nilitumia masaa kama 15 hivi kufika huko, nikawa nimefika kama saa mbili hivi usiku na nikaamua kufikia lodge.

Hivyo lodge imepewa jina la YERUSALEM na nilivyo ulizia kwanini imepewa hilo jina, mmiliki wake ni mcha Mungu sana na hataki mambo ya "show time" yeye huwa analaza wageni wanao safiri tu.

Basi bhan yule mhudumu alikuwa wa kike akanipokea vizuri akabeba mabegi yangu na kunikabidhi chumba.

Kabla hajaondoka akanambia "pole sana na safari na ingekuwa vizuri kama ningekupa huge ili utoe uchovu wa safari"

Nikamwambia hamna shida ni huge tu, aisee yule dem mhudumu baada ya kuni-huge si akananikumbatia mazima tena kwa kunibana (kwa nguvu), nikajifanya kama naanguka kitandani na yeye akaangukia juu yangu.

Badae akanambia ngoja kwanza nifunge mlango, akapiga mlango lock akaja then ghafla nikaona anavua nguo.

Aisee sikujiuliza mara mbili mbili na mm nikatupa suruali kule nikamfua yule mhudumu kimoja cha chap tena peku peku.

Then akanambia kaoge kwanza nije nikumalizie kukutoa uchovu vizuri kabla sijaenda nyumbani.

Aisee nilienda kuoga alafu ndo akili zikanirudia na kujiambia kimoyo moyo "hivi kumbe ndiyo watu wanapataga ukimwi kirahisi hivo, yaani mtu simjui hanijui alafu ananipa peku peku".

Wakati nawaza hivo saa tatu hivi nikaskia mlango unagongwa (kumbe ni mwenyewe mhudumu).

Nikafungua tu kanirukia mara maro-mance nikamfua tena cha pili peku peku hivo hivo (sema nilitumia mda sana mpaka akaanza kunambia humalizi tu wateja wataanza kuniita😆😆😆) maana nilitumia kama more than 40 minutes hivi.

Mambo yakaisha akanambia saa nne mimi naondoka kwenda kwangu, nikamwambia si tulale tu hapa na mimi.

Akajibu "Nimeolewa nna mume na watoto watatu" aisee yule muhudumu aliniacha katika hali ya mshangao sana.

Then hakuniomba hata hela japo zilikuwepo japo mezani anaziona kwenye wallet, akaondoka hivi hivi.

Sema asubuhi mi mwenyewe niliona aibu alivyokuja kazini nikachukua 20,000/= nikampa maana niliona amenifanyia wema japo kwa risk.

Badae nilikuja kumuuliza hivi huogopi hata ukimwi umenipa peku peku na hatujuani ndo mara ya kwanza tunaonana.

Akanjibu kifupi kwamba "nilivyokuona tu kabla hata sijakuongelesha nilikuamini.

Then ni mkubwa kwangu kidogo mimi nna 29 years age na yeye ananamnia ana 35 years age.

Kwa hiyo hawa wake za watu sometime wanaliwa tu bila hata sababu za msingi, mfano : sikuona sababu ya msingi ya huyu mwanamke kunipa K, maana issue haikuwa pesa wala nini ni yeye tu kaamua kunipa bure na wala sikumtongoza.
Alikuwa na nyege. Nyege mbaya sana zikishazidi. Unaweza fanya ngono msikitini au kanisani.
 
Kizuri kula na nduguyo,hainaga makombo mhimu isafishwe tu baada ya matumizi,
Ni sawa na sahani ya mama ntilie inatumika na kila mtu ni ila baada ya matumizi inasafishwa na wewe unatumia,
Hutaki kula na nduguyo ila ukiona cha nduguyo unataka ule na ukipewa unakula kweli!!
Acha ujinga na ubinafsi kizuri kula na nduguyo
laabek
 
Kama mnataka hali itulie kidogo jueni mnafanyaje sisi ambao tumegoma kuoa tuoe maana wakati ninyi mnachakaa na majukumu sisi tupo Gym, Saloon na kujiboresha kiuchumi na kiafya sasa mnategemea wake zenu wakikutana na watu kama hao wataacha kuwacheat kweli!!!?
 
pole mkuu, ila kugongewa ni tangu zamani, na mara nyingi sababu za wanawake kuchepuka hazielewekagi... hata wazee wa zamani walisema "kuchapiwa ni siri ya ndani"
 
pole mkuu, ila kugongewa ni tangu zamani, na mara nyingi sababu za wanawake kuchepuka hazielewekagi... hata wazee wa zamani walisema "kuchapiwa ni siri ya ndani"
Na ndio sababu wazee wa zamani kabla hajaingia ndani anatangulia kwanza kujiongelesha huko nje weeeee, atajiimbisha nyimbo weeeee, kwa dakika kadhaa, mpaka huko ndani kwake wajue mwenye nyumba kafika, ndipo anaingia ndani. Sababu ilikuwa ni kwamba, kama kuna jamaa anajimwambafai huko ndani apate muda wa kusepa kabla mambo hayajawa mambo. Sisi wa leo ndio kwanza tunapanga mafumanizi, mwisho tunaishia kufa ama kuua wenza wetu. Sio kwamba walikuwa wajinga, walikuwa wanaepusha baadhi ya mambo.
 
Wake za watu a.k.a wake zetu wengi wao hutoka nje ya ndoa kwa sababu ya sisi wanaume na wachache hutoka sababu ni malaya sugu
 
Kuwa makini na mchicha mzuri uliostawi jalalani ... Angalia na nyumba unayokwenda , mama na dada zake wanatabia gani .. tafuta bodaboda wa huo mtaa anakupa A-Z kabla ya kwenda Rasmi
Haina formula hiyo
 
Cheat on her first before she cheats on you,hii itakupunguzia gender based violence utakapogundua mkeo analiwa nje. usisamehe muache aende tu😉.
 
Back
Top Bottom