imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Hiii mbinu ilishashindikana kwani corona inaweza kuambukiza zaidi ya mara mojanatural herd immunity
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiii mbinu ilishashindikana kwani corona inaweza kuambukiza zaidi ya mara mojanatural herd immunity
ngoja tusubiriMkuu lisemwalo lipo..hiyo video itakufikia tu..
Mimi sichanji..
Hivi utajisikiaje siku ukiambiwa ,,
Wanaume wote waliochanja watafumuka makalio makubwa na dushe kutosimama milele?
Kwann tusisubiri 100% proved..?
Kinachonichanganya hasa... Ni zile chanjo za Marekani na washirika wake ndizo zinazungumzwa sana na kupigiwa promo, huku za china na urusi zipo kimyaMkuu ukiona video ya madaktari wa kimarekani,,
Tena wanazungumza public..
-- tunapinga chanjo sababu kuna udanganyifu mwingi.
-- kuendelea kuchukuwa tahadhari ni bora kuliko chanjo.
-- makampuni ya marekani ndy yanayonufaika na mradi wa chanjo.
--
Hakika kabisa MKUU..Kinachonichanganya hasa... Ni zile chanjo za Marekani na washirika wake ndizo zinazungumzwa sana na kupigiwa promo, huku za china na urusi zipo kimya
Hilo ndy la msingi.ngoja tusubiri
Hoja zipi wewe makalio?Jibu hoja kama mtu mzima,unaleta uchoko wa Fb hapa
Thibitisha shutuma zako kuwa hizo chanjo zinaleta utasa tahira wewe?
Watu wanakufa halafu unaleta jokes za kijinga kwa watu wanaopoteza mda na pesa zao kufanya dunia iwe salama
We Dada nipo na wewe mpaka mwishoHoja zipi wewe makalio?
Hivi akili zako zinakutosha kweli?
Au zinakusaidia kujuwa kubinuka dogy style?
Huna ujualo,,kaa kimya pimbi wee.
Usilazimishe watu wachanje corona,, bwege wee.
Wewe muasisi labda kwenye** jukwaa la mashoga..**We Dada nipo na wewe mpaka mwisho
Thibitisha chanjo za Covi19 zinaleta "utasa" au "uhanithi"
Huna tusi jipya utakalotukana....hayo matusi unayotukana hapa waasisi wake ni sisi
Jibu swali hizo chanjo zinaleta vipi "utasa na uhanithi" pimbi wewe
Wewe muasisi labda kwenye** jukwaa la mashoga..**
Sio kwenye uwanja huu..
Kila mtu Mwenye akili timamu anajuwa wazi yanayoendelea ulimwenguni kuhusu ,,
-corona,
-Na chanjo.
Sio kila wanachokileta wazungu kina faida kwako.
Kuna vingine vina athari,,
Tena wanavifanya kwa maslahi yao binafsi.
Utasemaje chanjo inafaa wakati bado wanaendeleza utafiti?
Ni lini wamesema chanjo ni proved 100%..
Zaidi ya kusema imeonyesha mafanikio?
Hivi Kwanini
-- waliochanja bado wanakufa?
-- waliochanja bado wanapata corona.
Labda nikupe faida kwa nn wazungu walazimishe chanjo.
-- hawataki wawekwe karantini pindi wanaposafiri inchi husika.
wamechoka karanteen siku 14.
Ukichanja utapewa certificate ambayo utaonyesha popote uendako bila kuwekwa karanteen.
-- chanjo ni biashara kwa yale makampuni yaliyogunduwa chanjo.
Usidhani hizo chanjo ni bure.
Subiri siku atakayokueleza huyo jamaa aliyekupakata ndy utaamini chanjo sio nzuri?
Maana ndy unayemuamini hata kumkabidhi makalio yako ayafanye anachotaka.
Pimbi wee..
Ni uoga wako tu, ila chanjo haina madhara yyte mzeMkuu,,fuatilia utakuja kugunduwa..
Huko marekani kuna video inazunguka mitandaoni
Kueleza nguvu kubwa inayotumika kulazimisha watu kuchanja chanjo.
Kuna jopo la madaktari linapinga hizo chanjo..
Wanasema ni makampuni ya kibiashara ndy yana mipango hyo kama ilivyokuwa barakoa.
Tena chanjo zinakufanya uwe tasa au dushe lisisimame kabisa.
Sasa wewe chanja hyo chanjo mabaharia tuje turuke na mkeo..
Mabaharia tutaruka hadi ukuta ,,tena bila vilainishi.***
Mtu usiye na taaluma hata ya kutengeneza pipi ya kijiti,,
Unapingana na jopo la madaktari,,linaloeneza habari za hatari ya chanjo ya corona.
YaNi muhimu kwa watanzania na Serikali yake kukubali chanjo ya corona ili kuepusha vifo vingi vya watu ambavyo vingeweza kuzuiwa.
Toka Janga la Corona lilivoikumba dunia, serikali ta Tanzania iliamua kutumia mbinu zenye kuhatarisha maisha,, kama kuruhusu mikusanyiko ya watu, kutokupima watu corona na hata kukosoa uvaaji wa barakoa.
Ni muhimu sasa serikali kubadilisha mtazamo kuhusu Corona ili watu wasiendelee kupoteza maisha, sana sana makundi maalumu kama wazee na wenye magonjwa sugu... Tusitegemee "natural herd immunity" bali tutumie chanjo kulimaliza hili janga hatari ulimwenguni.View attachment 1721833
wanasayansi, au we huamin sayansi mkuuAliyekudanganya kuwa hiyo chanjo inakinga na nani vile!?
Ya
Ni muhimu kwa watanzania na Serikali yake kukubali chanjo ya corona ili kuepusha vifo vingi vya watu ambavyo vingeweza kuzuiwa.
Toka Janga la Corona lilivoikumba dunia, serikali ta Tanzania iliamua kutumia mbinu zenye kuhatarisha maisha,, kama kuruhusu mikusanyiko ya watu, kutokupima watu corona na hata kukosoa uvaaji wa barakoa.
Ni muhimu sasa serikali kubadilisha mtazamo kuhusu Corona ili watu wasiendelee kupoteza maisha, sana sana makundi maalumu kama wazee na wenye magonjwa sugu... Tusitegemee "natural herd immunity" bali tutumie chanjo kulimaliza hili janga hatari ulimwengunihttps://m.youtube.com/watch?v=T2zZevsQyqw&feature=youtu.beView attachment 1721833
wanasayansi, au we huamin sayansi mkuu
Ni muhimu kwa watanzania na Serikali yake kukubali chanjo ya corona ili kuepusha vifo vingi vya watu ambavyo vingeweza kuzuiwa.
Toka Janga la Corona lilivoikumba dunia, serikali ta Tanzania iliamua kutumia mbinu zenye kuhatarisha maisha,, kama kuruhusu mikusanyiko ya watu, kutokupima watu corona na hata kukosoa uvaaji wa barakoa.
Ni muhimu sasa serikali kubadilisha mtazamo kuhusu Corona ili watu wasiendelee kupoteza maisha, sana sana makundi maalumu kama wazee na wenye magonjwa sugu... Tusitegemee "natural herd immunity" bali tutumie chanjo kulimaliza hili janga hatari ulimwenguni.View attachment 1721833
Hapana, ngoja nikurushie og!sasa iz video s zmetengenezwa na makada wa ccm mkuu