#COVID19 Tukubali chanjo, Covid-19 ipo na inaua

#COVID19 Tukubali chanjo, Covid-19 ipo na inaua

Chanjo ya COVID inafika lini bongo mi nikajidunge, kma serikali haitaki waruhusu hata private hospitals wanunue kutoka ubeberuni tunaotaka kuchanjwa tuchanjwe.
 
Unaweza kuchukua taadhari gani kwa mfano?
Nitakuwa wa mwisho kukubali chanjo... Nitachukua tahadhari zote kuhusu huu ugonjwa... LAKINI SIO CHANJO
 
Siyo kirahisi rahisi hivyo... lazima tubishane kwanza...
 
Chanjo ya COVID inafika lini bongo mi nikajidunge, kma serikali haitaki waruhusu hata private hospitals wanunue kutoka ubeberuni tunaotaka kuchanjwa tuchanjwe.
Pitia Namanga ukachajwe we panya 1000!
Mnaambiwa hiyo siyo chanjo na wala haikingi corona mabuda naona yanaikimbilia! Hivi watu wanafeli wapi?
 
Eti chanjo sio salama! wewe nchi yako imetengeneza chanjo ipi? na umefanya tafiti gani kujua kwamba chanjo sio salama?
Na hao madaktari wa marekani walio kataa chanjo kwaiyo ww umewazidi akili kibaraka
 
Wabongo bana,hizi takataka mnazitoaga wapi?

Umeulizwa hapo juu,thibitisha hizo chanjo zina leta utasa na uhanithi

Unaishia kusema kuna video inasambaa....

Kwahio video ndio utafiti?
Na ww thibitisha chanjo ni salama
 
Jibu hoja kama mtu mzima,unaleta uchoko wa Fb hapa

Thibitisha shutuma zako kuwa hizo chanjo zinaleta utasa tahira wewe?

Watu wanakufa halafu unaleta jokes za kijinga kwa watu wanaopoteza mda na pesa zao kufanya dunia iwe salama
Nani kapoteza muda na pesa dunia iwe salama wakat Corona yenyewe Ni man made!
 
Barakoa zingetumika kwa Watanzania wote zingepunguza maambukizi kwa 50%
2-Image-from-iOS-19-1.jpg
 
Back
Top Bottom