chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
- Thread starter
- #21
Gari ya 2006 unasema ni IST NEW MODEL, bongo Bana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
nioneshe mwenye IST ya 2022
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari ya 2006 unasema ni IST NEW MODEL, bongo Bana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kweli wewe chizi maarifanioneshe mwenye IST ya 2022
Gari ya 2006 unasema ni IST NEW MODEL, bongo Bana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Gari la miaka 10+ nyumA utasemaje ni new model ng'ombe weweJua kutofautisha new model na latest model
Yes IST 2007 ni new model ya 2004 huelewi nini mku!
Gari la miaka 10+ nyumA utasemaje ni new model ng'ombe wewe
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ukazani[emoji777]Kinachokuchanganya ni kingereza tu polee[emoji850]
Kielewe kingereza na kamwe usikitafsiri kwenda Kiswahili ukazani utakielewa zaidi.
Usitumie hasira kubali kuelewesha
New model has nothing to do with latest model
Naomba ufafanuzi ni nini kufanyiwa recall ?Hii ilifanyiwa recall...
Toleo jipya la gari huitwa New model na hii hubakia kuwa hivyo hadi litakapotolewa toleo jingine bila kujali miaka. Labda nitoe tafsiri ya New model kuwa, ni toleo liliko toka baada ya lile toleo la awali.Gari la miaka 10+ nyumA utasemaje ni new model ng'ombe wewe
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Toleo jipya la gari huitwa New model na hii hubakia kuwa hivyo hadi litakapotolewa toleo jingine bila kujali miaka. Labda tutafsiri New model kuwa, ni toleo liliko toka baada ya lile toleo la awali.
Kwa maana hiyo, Kama new model ya IST ilitoka miaka 10 iliyopita na haijatoka toleo jingine baada ya hiyo, hilo toleo la mwisho kutoka linabakia kuwa New model ya IST
Ni kitendo cha manufacturer kurudisha biadhas kiwandani baada ya kugundulika matatizo kadhaa...Naomba ufafanuzi ni nini kufanyiwa recall ?
yan iyo nadia ndo takatakaGari ambazo hazijafanya vyema sokoni.
1.Vista
2.Verossa
3.Progress
4.Opa
5.Nadia
6.Voltz
Hizi gari hazikutengenezwa kwa wingi sababu hazikukubalika sana sokoni. Sio kwamba zilikuwa mbovu. LA HASHAA!
Utaona kabisa hazina muendelezo ama new model yake. Zote zilikuwa discontinued!!!
hillux toyota, na ,gx100,Tufahamu hapa tunaongelea magari yaliyotengenezwa na kutumika zaidi ya miaka 18 iliyopita
Ok sawa. Asante.Ni kitendo cha manufacturer kurudisha biadhas kiwandani baada ya kugundulika matatizo kadhaa...
Hiyo gari ilipotoka tu ilibainika kuwa na hitilafu kadhaa ikabidi Toyota waitudishe kiwandani.
Umbo/sura mpya iliyo boreshwa kutoka kwenye umbo/sura ya awali au ya zamani.Kinachokuchanganya ni kingereza tu polee[emoji850]
Kielewe kingereza na kamwe usikitafsiri kwenda Kiswahili ukazani utakielewa zaidi.
Usitumie hasira kubali kuelewesha
New model has nothing to do with latest model
BrevisGari ambazo hazijafanya vyema sokoni.
1.Vista
2.Verossa
3.Progress
4.Opa
5.Nadia
6.Voltz
Hizi gari hazikutengenezwa kwa wingi sababu hazikukubalika sana sokoni. Sio kwamba zilikuwa mbovu. LA HASHAA!
Utaona kabisa hazina muendelezo ama new model yake. Zote zilikuwa discontinued!!!
Ni new model ya old one ndio na inaweza kuwa old model ya itakayofata. Zikiwa kuanzia tatu ndo utaona watu wanasema first gen, sec gen n.k ila kama zipo mbili ukisema new model unaeleweka pia na upo sawa hata kama lina miaka 50.Gari ya 2006 unasema ni IST NEW MODEL, bongo Bana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hizo mnazosema zinauza au kumpa jina Ni sababu mnanunua mpya ,, passo mpya itakusumbua lini?Asilimia kubwa ya hapa kwetu wote tunatumia gari za Toyota.
ila kiukweli kuna gari zilizofanya vizuri na zengine zilifanya vibaya kama kichwa cha habari hapo juu.
Na kumbuka IST ilivotoka mwanzoni yani ilifanya vizuri sana kimauzo ila ilivotoka new model yake kama ikaishiwa kupendwa.
Kuna magari yalitengenezwa ila yakaongoza kwa ubovu kama passo,brevis na n.k
Toyota gari zinazompa jina ni haya land cruser na hilux zinazo nunuliwa sana na taasisi binafsi ,serikali na watu binafsi.
Gari gani unaona toyota ilizingua na isiyozingua
Ni sawa watu wanavopenda IST Sana na kusema Ni nzuri ...wakati vitz mambele ndo inauza Sana hata production ya ist ilikoma 2016Gari ambazo hazijafanya vyema sokoni.