Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Hiii ndinga ukiiangalia kwa mbaaali ikiwa inakuja mbele yako unaona kama benz falan hiviMark X
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiii ndinga ukiiangalia kwa mbaaali ikiwa inakuja mbele yako unaona kama benz falan hiviMark X
Harrier zipo gen ya 3 ila bado tako la nyani madalali wana refer as new model.Ni new model ya old one ndio na inaweza kuwa old model ya itakayofata. Zikiwa kuanzia tatu ndo utaona watu wanasema first gen, sec gen n.k ila kama zipo mbili ukisema new model unaeleweka pia na upo sawa hata kama lina miaka 50.
280HP ni ile ya 1JZ-GTE basi moto wake sio poa.Ni sawa watu wanavopenda IST Sana na kusema Ni nzuri ...wakati vitz mambele ndo inauza Sana hata production ya ist ilikoma 2016
Hizo gari voltz ilikuwa kwa soko la US na sio Japan ndo Mana Africa zipo chache
Verosa waliipokea vibaya sokoni ikasitishwa ila Ni gari nzuri Sana
Engine zake Kuna 1G ipo vizuri na ile flagship ya verosa ya mwsho kutengenezwa ndo balaa ilikuwa 280hp 1jz gte Safi kabisa
Kuna cresta ya 1998 nayo Ina 1jz gte inaamsha kama imeibiwaga280HP ni ile ya 1JZ-GTE basi moto wake sio poa.
Umeisahau toyota picnicGari ambazo hazijafanya vyema sokoni.
1.Vista
2.Verossa
3.Progress
4.Opa
5.Nadia
6.Voltz
Hizi gari hazikutengenezwa kwa wingi sababu hazikukubalika sana sokoni. Sio kwamba zilikuwa mbovu. LA HASHAA!
Utaona kabisa hazina muendelezo ama new model yake. Zote zilikuwa discontinued!!!
Wewe Prius how? Kuna gari ndogo reliable kama Prius has generation 2? Au prius wamezingua nnNa Prius
Mh ila bongo shida sana...unaonekana wengi humu Operations za hybrid cars bado hatuzijui..na issue ya betri inakufa kama haipo ventilated vizuri..mfano Toyota Prius ina feni separate kwa ajili ya ku control temperature ya betri, sasa huku bongo unakuta ile filter inayowekwa kwenye ventilation system ya hybrid ina jaa vumbi mpaka ina ziba sasa betri inashindwa pumua( ina overheat)Prius na Toyota Camry ni moja ya best selling toyota masoko ya Ulaya na America. Bongo Prius walala hou hatuiwezi kwasababu ni hybrid mafundi wa vichochoroni hawaiwezi na cost ya maintenance kwenye mabattery, Electric Motors inaongezeka ukilinganisha na ya mafuta tupu.
Huyo progress tofauti yake na brevis ni body appearance tu vinginevyo waweke wote na dugu yake.Gari ambazo hazijafanya vyema sokoni.
1.Vista
2.Verossa
3.Progress
4.Opa
5.Nadia
6.Voltz
Hizi gari hazikutengenezwa kwa wingi sababu hazikukubalika sana sokoni. Sio kwamba zilikuwa mbovu. LA HASHAA!
Utaona kabisa hazina muendelezo ama new model yake. Zote zilikuwa discontinued!!!
Hv mechanism ya hii hybrid kwenye kusave mafuta inakuaje hasa?? Mana kama ina electric motor inayojichaji wakati gari ikitembea nategemea baada ya umbali fulan bas gari ianze kutumia umeme kutoka kwny mota na sio mafuta tena!!!Mh ila bongo shida sana...unaonekana wengi humu Operations za hybrid cars bado hatuzijui..na issue ya betri inakufa kama haipo ventilated vizuri..mfano Toyota Prius ina feni separate kwa ajili ya ku control temperature ya betri, sasa huku bongo unakuta ile filter inayowekwa kwenye ventilation system ya hybrid ina jaa vumbi mpaka ina ziba sasa betri inashindwa pumua( ina overheat)
matokeo yake betri inakufa
Hv mechanism ya hii hybrid kwenye kusave mafuta inakuaje hasa?? Mana kama ina electric motor inayojichaji wakati gari ikitembea nategemea baada ya umbali fulan bas gari ianze kutumia umeme kutoka kwny mota na sio mafuta tena!!!
Au???? Yaan namaanisha zile gari hybrid(ambazo ndo zina electric motor) zina advantage gan over hz ambazo sio hybrid?
Sawa sawa,,,,,zina tegemea ila kuna zengine ikifika spidi fulani inaacha kutumia mafuta.kuna zengine engine inazungushwa na umeme mwingi kuliko mafuta.
Kwa kuwa teknolojia inakuwa na bado mfumo unazidi kuimalika
Toyota corrola E90,,,,, cjawahi kuiona hii gari bongoland cjui kama ipo!!!Wakuu toyota gani hii?!View attachment 2481414
Sahihi jina lingine ni toyota tazzToyota corrola E90,,,,, cjawahi kuiona hii gari bongoland cjui kama ipo!!!