Tukubali kwanza kuna gari model nyingi za Toyota ilichemsha kimauzo na zengine kwenye utengenezaji

Gari la miaka 10+ nyumA utasemaje ni new model ng'ombe wewe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app

Kinachokuchanganya ni kingereza tu polee[emoji850]

Kielewe kingereza na kamwe usikitafsiri kwenda Kiswahili ukazani utakielewa zaidi.

Usitumie hasira kubali kuelewesha

New model has nothing to do with latest model
 
Ukazani[emoji777]
Ukadhani [emoji3581]

Kajifunze lugha adhimu ya Kiswahili ndio uje kuelimisha watu.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Gari la miaka 10+ nyumA utasemaje ni new model ng'ombe wewe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Toleo jipya la gari huitwa New model na hii hubakia kuwa hivyo hadi litakapotolewa toleo jingine bila kujali miaka. Labda nitoe tafsiri ya New model kuwa, ni toleo liliko toka baada ya lile toleo la awali.
Kwa maana hiyo, Kama new model ya IST ilitoka miaka 10 iliyopita na haijatoka toleo jingine baada ya hilo toleo, basi hilo toleo la mwisho kutoka linabakia kuwa New model ya IST
 
Akirudi kukujibu nshtue nmekaa palee [emoji1428]
 
Naomba ufafanuzi ni nini kufanyiwa recall ?
Ni kitendo cha manufacturer kurudisha biadhas kiwandani baada ya kugundulika matatizo kadhaa...

Hiyo gari ilipotoka tu ilibainika kuwa na hitilafu kadhaa ikabidi Toyota waitudishe kiwandani.
 
yan iyo nadia ndo takataka
 
Ni kitendo cha manufacturer kurudisha biadhas kiwandani baada ya kugundulika matatizo kadhaa...

Hiyo gari ilipotoka tu ilibainika kuwa na hitilafu kadhaa ikabidi Toyota waitudishe kiwandani.
Ok sawa. Asante.
 
Kinachokuchanganya ni kingereza tu polee[emoji850]

Kielewe kingereza na kamwe usikitafsiri kwenda Kiswahili ukazani utakielewa zaidi.

Usitumie hasira kubali kuelewesha

New model has nothing to do with latest model
Umbo/sura mpya iliyo boreshwa kutoka kwenye umbo/sura ya awali au ya zamani.
 
Brevis
 
Gari ya 2006 unasema ni IST NEW MODEL, bongo Bana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ni new model ya old one ndio na inaweza kuwa old model ya itakayofata. Zikiwa kuanzia tatu ndo utaona watu wanasema first gen, sec gen n.k ila kama zipo mbili ukisema new model unaeleweka pia na upo sawa hata kama lina miaka 50.
 
Hizo mnazosema zinauza au kumpa jina Ni sababu mnanunua mpya ,, passo mpya itakusumbua lini?

Kingne engine ya passo iliwahi shinda engine of the year category ya 1L kushuka chini (1KR)
 
Ni sawa watu wanavopenda IST Sana na kusema Ni nzuri ...wakati vitz mambele ndo inauza Sana hata production ya ist ilikoma 2016

Hizo gari voltz ilikuwa kwa soko la US na sio Japan ndo Mana Africa zipo chache

Verosa waliipokea vibaya sokoni ikasitishwa ila Ni gari nzuri Sana

Engine zake Kuna 1G ipo vizuri na ile flagship ya verosa ya mwsho kutengenezwa ndo balaa ilikuwa 280hp 1jz gte Safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…