Tukubali maumivu: Simba kuanzia michuano ya awali CAF champions league!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Mwaka huu 2022/23 ni timu sita tu ndizo zitakazoanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF champions league. Timu hizo ni: 1. Al Ahly(misri) 2. TP Mazembe(DRC) 3. WAC(Morocco) 4. Raja(Morocco) 5. Mamelodi Sundowns(south africa) 6. EST(Tunisia).

1660040965480.png

1660041031753.png
Hizo zilizowekewa rangi za kijani ndio zinaingia raundi ya kwanza moja kwa moja.

Ila tunashukuru kuwa mchango wa simba kuingizia pointi nyingi nchi yetu umeweza kusaidia AZAM kuanzia raundi ya kwanza michuano ya shirikisho-Confederation Cup!!

Bila shaka wananchi wamefurahi sana, japo watatolewa asubuhi kwenye michuano ya awali!!
NB: Jedwali la upande wa kulia ni la kombe la shirikisho na lile jedwali la upande wa kushoto ni michuano ya kombe la mabingwa!! Povu ruksa!!!
 
Simba itajipambania toka michuano ya awali hadi nusu fainali!! Si mmeuona moto wa jana kwenye Simba day? Lakini hao wenzetu wajiitao wananchi tuliwaona pia wakiwa wamelowa maji!! Ni aheri wajitoe tu ili wajiandae vizuri zaidi kwa miaka ijayo.
 
Sioni ajabu kaka kujitoa kwa ajili ya wadogo zake, kwanza aliwabeba zikaenda timu nne kimataifa, then amembeba mwingine anaenda hatua ya kwanza.

Hakika huyu kaka ni mfano wa kuigwa.
Nakubaliana na wewe asilimia 100!
 
matukio ya kuwapa furaha Utopolo ni machache sana kama hili la mnyama Simba kuanzia hatua ya awali wamefuraahi hao mpaka wanademka[emoji23][emoji28]
 
Hakuna aibu hapo. Ni kwa kuwa timu zitakazoanzia raundi ya kwanza zimepunguzwa kutoka 10 na kuwa 6. Ingekuwa aibu kama simba ingekosa nafasi wakati timu 10 zimeanzia raundi ya kwanza!!.
Hata kama zingekua kumi Simba angeanzia chekekea kwa wenzake
 
Mwaka huu 2022/23 ni timu sita tu ndizo zitakazoanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF champions league. Timu hizo ni: 1. Al Ahly(misri) 2. TP Mazembe(DRC) 3. WAC(Morocco) 4. Raja(Morocco) 5. Mamelodi Sundowns(south africa) 6. EST(Tunisia).

View attachment 2319026
View attachment 2319027 Hizo zilizowekewa rangi za kijani ndio zinaingia raundi ya kwanza moja kwa moja.

Ila tunashukuru kuwa mchango wa simba kuingizia pointi nyingi nchi yetu umeweza kusaidia AZAM kuanzia raundi ya kwanza michuano ya shirikisho-Confederation Cup!!

Bila shaka wananchi wamefurahi sana, japo watatolewa asubuhi kwenye michuano ya awali!!
NB: Jedwali la upande wa kulia ni la kombe la shirikisho na lile jedwali la upande wa kushoto ni michuano ya kombe la mabingwa!! Povu ruksa!!!
Endelea kukariri maisha mwaka jana mlisema Yanga hua inaongoza first round baadae mnakuja kwenye nafasi yenu vipi mlifika? Sasa hivi mnekariri Yanga itatoka mapema as if nyie ndio mnapanga matokeo
 
Sioni ajabu kaka kujitoa kwa ajili ya wadogo zake, kwanza aliwabeba zikaenda timu nne kimataifa, then amembeba mwingine anaenda hatua ya kwanza.

Hakika huyu kaka ni mfano wa kuigwa.
Ama kwa hakika kaka huyu ni mwenye upendo kwa nduguze japo katika wadogo zake mmoja ni mwenye kiburi mno.
 
Hakuna aibu hapo. Ni kwa kuwa timu zitakazoanzia raundi ya kwanza zimepunguzwa kutoka 10 na kuwa 6. Ingekuwa aibu kama simba ingekosa nafasi wakati timu 10 zimeanzia raundi ya kwanza!!.
Tatizo ni zile tambo zenu. Halafu mwisho wa siku wote tunajikuta tuko kwenye kapu moja.
 
Simba itajipambania toka michuano ya awali hadi nusu fainali!! Si mmeuona moto wa jana kwenye Simba day? Lakini hao wenzetu wajiitao wananchi tuliwaona pia wakiwa wamelowa maji!! Ni aheri wajitoe tu ili wajiandae vizuri zaidi kwa miaka ijayo.
Simba ya jana haina tofauti na msimu uliopita wa ligi yetu.
Tofauti ni wachezaji walioongezwa tu
 
matukio ya kuwapa furaha Utopolo ni machache sana kama hili la mnyama Simba kuanzia hatua ya awali wamefuraahi hao mpaka wanademka[emoji23][emoji28]
Tatizo mlichonga sana! Halafu mwisho wa siku mkapigwa na kitu kizito kichwani.
 
Sioni ajabu kaka kujitoa kwa ajili ya wadogo zake, kwanza aliwabeba zikaenda timu nne kimataifa, then amembeba mwingine anaenda hatua ya kwanza.

Hakika huyu kaka ni mfano wa kuigwa.
Labda unamaanisha kaka ya kizungu! Yaani Young brother. Maana ukija kwenye uhalisia, Yanga ndiye kaka wa vilabu vyote vya mpira wa miguu nchini!

Kuanzia umri, na pia wingi wa mataji anayo miliki. Imagine Yanga ndiye Bingwa wa kihistoria nchini.
 
Wakati utopo mnafurahia kukaa na simba kundi moja hebu rejea hapa chini uone ni jinsi gani nyie ni sisimizi huko kwenye soka la kimataif
Screenshot_20220809-150207_Chrome.jpg
Screenshot_20220809-150218_Chrome.jpg
Screenshot_20220809-150228_Chrome.jpg
Screenshot_20220809-150235_Chrome.jpg
 
Mwaka huu 2022/23 ni timu sita tu ndizo zitakazoanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF champions league. Timu hizo ni: 1. Al Ahly(misri) 2. TP Mazembe(DRC) 3. WAC(Morocco) 4. Raja(Morocco) 5. Mamelodi Sundowns(south africa) 6. EST(Tunisia).

View attachment 2319026
View attachment 2319027 Hizo zilizowekewa rangi za kijani ndio zinaingia raundi ya kwanza moja kwa moja.

Ila tunashukuru kuwa mchango wa simba kuingizia pointi nyingi nchi yetu umeweza kusaidia AZAM kuanzia raundi ya kwanza michuano ya shirikisho-Confederation Cup!!

Bila shaka wananchi wamefurahi sana, japo watatolewa asubuhi kwenye michuano ya awali!!
NB: Jedwali la upande wa kulia ni la kombe la shirikisho na lile jedwali la upande wa kushoto ni michuano ya kombe la mabingwa!! Povu ruksa!!!
We ndio umejua leo?
 
Back
Top Bottom