Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hapo ndo mnaponichekesha eti mabingwa wa kihistoria wenyewe mnavimbaaaLabda unamaanisha kaka ya kizungu! Yaani Young brother. Maana ukija kwenye uhalisia, Yanga ndiye kaka wa vilabu vyote vya mpira wa miguu nchini!
Kuanzia umri, na pia wingi wa mataji anayo miliki. Imagine ndiye Bingwa wa kihistoria nchini.