Hapo ndo mnaponichekesha eti mabingwa wa kihistoria wenyewe mnavimbaaaLabda unamaanisha kaka ya kizungu! Yaani Young brother. Maana ukija kwenye uhalisia, Yanga ndiye kaka wa vilabu vyote vya mpira wa miguu nchini!
Kuanzia umri, na pia wingi wa mataji anayo miliki. Imagine ndiye Bingwa wa kihistoria nchini.
Tuwekee vifungu vya sheria toka Katiba ya Simba.Narudia kusema ni makosa kuijadili simba ikiwa ww sio msimbazi
Mambo tayari yako hadharani. Sisi simba tutacheza na Big Bullets ya Malawi.Droo ni lini?
@Tate Mkuu njoo usome hapa, ukimaliza toa machozi afu pumzika.Wakati utopo mnafurahia kukaa na simba kundi moja hebu rejea hapa chini uone ni jinsi gani nyie ni sisimizi huko kwenye soka la kimataif
View attachment 2319096View attachment 2319097View attachment 2319098View attachment 2319099
Utopolo yako na Zalan huko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo tayari yako hadharani. Sisi simba tutacheza na Big Bullets ya Malawi.
Hapo wanapita kama hawaoni@Tate Mkuu njoo usome hapa, ukimaliza toa machozi afu pumzika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo wanapita kama hawaoni