Naomba nifahamishwe, katika hili suala ni kipi kinachothibitisha ujinga wetu? Kuwa makampuni ya kigeni ndiyo yanayoshikilia sehemu kubwa ya miradi ya ujenzi ambayo mara nyingi inafadhiliwa na kodi za wananchi wao? Au kuwa wanaremit faida wanayoipata? Au kuna jambo ambalo mimi sijalielewa!
Fundi,
The fact that we are allowing all these foreign companies to come and operate in Tanzania and provide them with "healthy" accomodations such as 5-10 years Income and Tax Break, in addition to other "incentives" to plush the red carpet fibre so they can walk like emperors to rescue Tanzania from its own failures, is enough to acknowledge that Ndivyo Tulivyo na ni Wajinga waliwao!
It does not matter that the payment of projects is repayment of their own Tax payers money, it is still a problem that we can not promote local industries and production and completely depend on imports of goods and services.
Mliokuwa mnalipinga Azimio, you have to ask yourselves now, if it was worth it to have strict policies that ensured every penny earned on our soil was accounted for and taxed.
Kuna mawili Fundi Mchundo, ukiangalia mkao wa kula aliofanya "Macheni" na Halibatoni, kupewa mikataba yote ya kujenga mitaa ya Uajemi, na misaada yote inayopewa serikali ya Ali Maliki, ni mchezo ule ule, ufisadi in crafty way!
La pili, ni sisi kuwa vibaraka wa hawa mabwana. Hizi safari za kujitangaza kila siku ni za kwenda kupokea amri na maagizo ya nini kifanyike. Tunadumaza wazawa kwa kuona bora wazungu na wawekezaji.
Ndio maana nimetoa hoja, Lets Privatize Ikulu, Bunge and.....