Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Hapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia kusambazwa kwa Wingi.
Unajua kwanini naamini kwamba Yanga ni Walozi, mechi za Simba Lazima aje kitofauti, hawezi kupita Lango kuu, kuja Uwanjani atakuja na Haice, Makomandoo wake wanakuwa wakali kinoma.
Asipopita Geti Dogo hashindi huwa hatujiulizi? Mwenye Fact ajibu haya ila Yanga ni Walozi wa kimpira ukiwadhibiti wanakuchukia 😀😀😀