Tukubali tukatae Yanga ni Walozi wakubwa

Tukubali tukatae Yanga ni Walozi wakubwa

Mmekazana kule SA ile ilikua ni kufukuza pepo wachafu na joto...wale o pirates ni wachawi kuliko utopolo...ndo maana walishinda kwa penati ...ubani ni uchawi? Mbona tunauwasha kanisani na msikitini..
Utopolo ni wachawiii..wanga...matunguli Fc
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia kusambazwa kwa Wingi.

Unajua kwanini naamini kwamba Yanga ni Walozi, mechi za Simba Lazima aje kitofauti, hawezi kupita Lango kuu, kuja Uwanjani atakuja na Haice, Makomandoo wake wanakuwa wakali kinoma.

Asipopita Geti Dogo hashindi huwa hatujiulizi? Mwenye Fact ajibu haya ila Yanga ni Walozi wa kimpira ukiwadhibiti wanakuchukia 😀😀😀
naona juzi wakifanya zindiko uwanja wa KMC baada ya kuukimbia wa azam
 
Back
Top Bottom