Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Unajua mkuu, kwenye soka hutakiwi kuamini uchawi unafanya kazi.Hapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia kusambazwa kwa Wingi.
Unajua kwanini naamini kwamba Yanga ni Walozi, mechi za Simba Lazima aje kitofauti, hawezi kupita Lango kuu, kuja Uwanjani atakuja na Haice, Makomandoo wake wanakuwa wakali kinoma..
Asipopita Geti Dogo hashindi huwa hatujiulizi? Mwenye Fact ajibu haya ila Yanga ni Walozi wa kimpira ukiwadhibiti wanakuchukia πππ
Na bado wakafungwaTimu pekee inayo fahamika hadi FIFA kwa uchawi ni Simba Sports Club. Hakuna timu iliyovunja hiyo record Africa mashariki.
Wazee wa kimila wakiongozwa na Mzamiru waliwasha moto uwanjani na kuongea maneno ya kichawi ya kiarabu japo walichezea kichapo.
Ila hatujawafikia nyie walozi wakimataifa mmevuka mpaka boda.Hapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia kusambazwa kwa Wingi.
Unajua kwanini naamini kwamba Yanga ni Walozi, mechi za Simba Lazima aje kitofauti, hawezi kupita Lango kuu, kuja Uwanjani atakuja na Haice, Makomandoo wake wanakuwa wakali kinoma..
Asipopita Geti Dogo hashindi huwa hatujiulizi? Mwenye Fact ajibu haya ila Yanga ni Walozi wa kimpira ukiwadhibiti wanakuchukia πππ
Hapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia kusambazwa kwa Wingi.
Unajua kwanini naamini kwamba Yanga ni Walozi, mechi za Simba Lazima aje kitofauti, hawezi kupita Lango kuu, kuja Uwanjani atakuja na Haice, Makomandoo wake wanakuwa wakali kinoma..
Asipopita Geti Dogo hashindi huwa hatujiulizi? Mwenye Fact ajibu haya ila Yanga ni Walozi wa kimpira ukiwadhibiti wanakuchukia πππ
Juzi mmepigwa 10M, za kupita mlango usio kisa Ulozi we Huogopi
View: https://youtu.be/UPwRfL-PTqc?si=NX7LYwVSJQFUXyYO nitajie timu 2 zilizowahi kuwasha moto ktk pitch
Juzi mmepigwa 10M, za kupita mlango usio kisa Ulozi we Huogopi
SheikhView attachment 3149301
Nyie mlipigwa march
Kuna mambo ya kumuharibu mtu kisaikolojia, uchawi ungekuwa unafanya kazi kwenye mpira wa miguu basi kuna nchi zingekuwa zinabeba makombe ya dunia. Au kule Sumbawanga wangekuwa na timu inayotisha kwa kubeba mataji.Hapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia kusambazwa kwa Wingi.
Unajua kwanini naamini kwamba Yanga ni Walozi, mechi za Simba Lazima aje kitofauti, hawezi kupita Lango kuu, kuja Uwanjani atakuja na Haice, Makomandoo wake wanakuwa wakali kinoma.
Asipopita Geti Dogo hashindi huwa hatujiulizi? Mwenye Fact ajibu haya ila Yanga ni Walozi wa kimpira ukiwadhibiti wanakuchukia πππ
Sasa kama Simba wanaroga getini kwa nini mlazimishe Yanga apitie geti kuu?Hapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia kusambazwa kwa Wingi.
Unajua kwanini naamini kwamba Yanga ni Walozi, mechi za Simba Lazima aje kitofauti, hawezi kupita Lango kuu, kuja Uwanjani atakuja na Haice, Makomandoo wake wanakuwa wakali kinoma.
Asipopita Geti Dogo hashindi huwa hatujiulizi? Mwenye Fact ajibu haya ila Yanga ni Walozi wa kimpira ukiwadhibiti wanakuchukia πππ
Azam waliwaroga niniSasa kama Simba wanaroga getini kwa nini mlazimishe Yanga apitie geti kuu?
Kwakua umetaka fact na si porojo, Hii ndio fact sasaHapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia kusambazwa kwa Wingi.
Unajua kwanini naamini kwamba Yanga ni Walozi, mechi za Simba Lazima aje kitofauti, hawezi kupita Lango kuu, kuja Uwanjani atakuja na Haice, Makomandoo wake wanakuwa wakali kinoma.
Asipopita Geti Dogo hashindi huwa hatujiulizi? Mwenye Fact ajibu haya ila Yanga ni Walozi wa kimpira ukiwadhibiti wanakuchukia πππ
Timu wachawiHapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia kusambazwa kwa Wingi.
Unajua kwanini naamini kwamba Yanga ni Walozi, mechi za Simba Lazima aje kitofauti, hawezi kupita Lango kuu, kuja Uwanjani atakuja na Haice, Makomandoo wake wanakuwa wakali kinoma.
Asipopita Geti Dogo hashindi huwa hatujiulizi? Mwenye Fact ajibu haya ila Yanga ni Walozi wa kimpira ukiwadhibiti wanakuchukia πππ
Ulozi hadharaniTimu wachawi