Tukubali Tume ya Chande Inapoteza Muda , hivi inachunguza nini kisichojulikana?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Nadhani ujinga wa watanzania upo kwenye akili. Sijawahi kuona watu wakichunguza majawabu

Kwenye historia ya Tanzania, Samia aandikwe kwa red pen

Vijana waliandamana ili kupaza sauti baada ya katiba ya nchi na katiba ya CCM kuvurugwa .

Samia kwa makusudi na kwa kujua analolifanya ni kosa na kwa kujua kuwa hatoweza kushinda kupitia mchakato wa ushindani kama watangulizi wake akisaidiwa na Mzee asiependa kustaafu. …..Kwa yote hayo watanzania wakaingia mtaani kukemea kwa sauti ushezi wa Samia .

Watu maalum walioandaliwa na Samia na timu yake kutoka Zanzibar na Uganda kwa kushirikiana na vyombo vya dola wakazima sauti za watanzania kwa kuwalipua na Silaha za moto as much as they could : making sure Samia remains in power.

Hii ndio Chanzo cha Mauaji ya Oct 29, historia imeweka hiyo sawa , picha na video tunazo. Watanzania kila siku kwao wanagugumia kwa maumivu kwa kushindwa hata kupata maiti za ndugu zao …….

Je Chande unaenda kuchunguza nini . Ushahidi uliwekwa wote juu ya meza, CNN haikuwa nyuma pia : Chande umeenda kuchunguza majibu ; what a shame !

Wapo Askari na wanajeshi ambao ni brave na wazalendo waliojaribu kuzuia upigaji risasi usio na mpangilio na kuishia kurushiana risasi wao kwa wao .

Bado napata maswali magumu Samia na tume yake wanachunguza nini ! Ni kupotezea watu muda …. Kwa kuchunguza majawabu wakati alieunda tume ndio mtuhumiwa

In a very serious note ; Nilazima tuje tumshitaki Samia , sitegemei kuona familia yake itakuja kuishi kwa amani

Soma pia PostGE2025 - Jaji Chande: Tume imefikiwa na Watu 63,603
 
Wanu na Mchengelwa watalipà madhambi ya mama/Mkwe wao maana ni accomplice na beneficiaries wa uovu wa mama/ mkwe wao. Bila kumsahau Msoga, na ukoo wake lazima nao wazike maiti kwa wingi!
 
Nadhani ujinga wa watanzania upo kwenye akili. Sijawahi kuona watu wakichunguza majawabu

Kwenye historia ya Tanzania, Samia aandikwe kwa red pen

Vijana waliandamana ili kupaza sauti baada ya katiba ya nchi na katiba ya CCM kuvurugwa .

Samia kwa makusudi na kwa kujua analolifanya ni kosa na kwa kujua kuwa hatoweza kushinda kupitia mchakato wa ushindani kama watangulizi wake akisaidiwa na Mzee asiependa kustaafu. …..Kwa yote hayo watanzania wakaingia mtaani kukemea kwa sauti ushezi wa Samia .

Watu maalum walioandaliwa na Samia na timu yake kutoka Zanzibar na Uganda kwa kushirikiana na vyombo vya dola wakazima sauti za watanzania kwa kuwalipua na Silaha za moto as much as they could : making sure Samia remains in power.

Hii ndio Chanzo cha Mauaji ya Oct 29, historia imeweka hiyo sawa , picha na video tunazo. Watanzania kila siku kwao wanagugumia kwa maumivu kwa kushindwa hata kupata maiti za ndugu zao …….

Je Chande unaenda kuchunguza nini . Ushahidi uliwekwa wote juu ya meza, CNN haikuwa nyuma pia : Chande umeenda kuchunguza majibu ; what a shame !

Wapo Askari na wanajeshi ambao ni brave na wazalendo waliojaribu kuzuia upigaji risasi usio na mpangilio na kuishia kurushiana risasi wao kwa wao .

Bado napata maswali magumu Samia na tume yake wanachunguza nini ! Ni kupotezea watu muda …. Kwa kuchunguza majawabu wakati alieunda tume ndio mtuhumiwa

In a very serious note ; Nilazima tuje tumshitaki Samia , sitegemei kuona familia yake itakuja kuishi kwa amani
Tume ya kijaji ingefaa.

Pascal Mayalla zitto junior
 
Chande Jana kasema kazi ya tume ni kukusanya ushahidi wa chanzo na madhara ya vurugu zilizojitokeza; SIO KUTOA USHAHIDI NANI KWENYE KOSA.
Tujiandae kisaikolojia
 
Alichokisema jana ni jambo lililotarajiwa na wengi, kwani hakuna uwezekano mtuhumiwa akawa ndio muunda tume ya kujichunguza. Jana Mzee Chande ndio kadhibitisha kile wengi walichotegemea. Aliposema tume haigusi nani aliyekosea, ama kukosewa, ila inajua nani kafanya nini kwa nini, hapo ni dhahiri ni tume ya kumsafisha Samia na serekali yake haramu.
 
Ripoti hiyo bila kuwa na mambo yafuatayo itakuwa batili:-
1) Nani aliyeua
2)Nani alitoa amri ya kuua
3)Idadi ya waliouwawa
4)Idadi ya majeruhi
5)Maiti ambazo hazikukabidhiwa kwa wafiwa zilipelekwa wapi.
6)Asilimia kubwa ya waliouwawa hawakuwa kwenye eneo la vurugu.
7)Utekaji, utesaji, kupotezwa na kuuwawa kwa wapinzani na wakosoaji wa serikali.
8)Manyanyaso ya vyombo vya dola kwa wapinzani hadi kuzuiwa kufanya shughuli zao za kisiasa.
9)Wizi wa kura unaofanywa na CCM kwa msaada wa vyombo vya dola.
10)...........................
11)............................
 
Kuzima mitandao
Mass grave ya kokobitch, na ununio , polisi waliopigana risasi
Jesh kupoteza imani kwa wananchi
Vyombo vya ulinzi kushirikiana na CCM badala ya wananchi

Kuna mengi sana Samia is to respond
 
Back
Top Bottom