Ukipata jibu utanisimulia maana sikuona foul yoyote Kwa mchezaji yeyote wa Simba.Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!!!
Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua,,njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Risiti tunazitunza na tusije kuona mnabwata kipindi wenzenu pia wakifaidika na marefa!Kunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Unakenua kwakuwa limewabeba but kwa wengine mnatoa mapanga,,msije mkaanza kulialia Tena hapa juu ya gsm anaharibu ligi, mlivyoufyata muendelee kuufyata ivyo ivyo!Halina tofauti na lile la tabora!
Labda bingwa wa ndondo cupSimba bingwa
Tatizo ni TFF hawawachukulii hatua marefa, (adhabu sitahiki)Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!
Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Yamekuwa hayo!Unakenua kwakuwa limewabeba but kwa wengine mnatoa mapanga,,msije mkaanza kulialia Tena hapa juu ya gsm anaharibu ligi, mlivyoufyata muendelee kuufyata ivyo ivyo!
Mnaoshabikia mamipira hua hamna akili, unanufaulika nini na maushabuki ya makipiraPamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!
Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Baada ya filimbiLilifungwa baada ya filimbi kupigwa au baada ya gori kufungwa?
Majibu please.
All the best
Mkuu kwenye mechi ya leo hakuna goli la pamba lililokataliwa bali pamba walifunga baada ya filimbi kupulizwa, hapo ilibidi uulize kwanini filimbi ilipulizwa wakati hakuna faulo iliyotendeka, ukishapuliza filimbi tu mchezo unakuwa umesimama.Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!
Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Mpira qenye simba na ya ga ndani yake ni utapeli uliopitiliza. Hizi timu mbili mpira ni kazi yao ya pili kama hujui ππππππPamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!
Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!