Tukubali waamuzi wa Tanzania ni janga la taifa lile goli walilofunga pamba lilikuwa na tatizo gani?

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!

Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
 
Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!!!
Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua,,njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Ukipata jibu utanisimulia maana sikuona foul yoyote Kwa mchezaji yeyote wa Simba.
 
Yule mchezaji wa Pamba inasemekana Ali mkwatua kwa nyuma kipa wa Simba.
 
Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!

Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Tatizo ni TFF hawawachukulii hatua marefa, (adhabu sitahiki)
 
Mwamuzi kakataa goli vipi wakati kilichotangulia ni kipenga cha foul? Baada ya kuamua kuwa foul zilipita sekunde kadhaa mchezaji WA Pamba kupiga kichwa na wachezaji waliosikia kipenga hawakujishulisha. Mkosoe Kwa kuamua Ile kuwa foul na sio Kwa kukataa goli.
 
Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!

Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Mnaoshabikia mamipira hua hamna akili, unanufaulika nini na maushabuki ya makipira
 
Kuweka mambo sawa, sio kwamba goli lilikataliwa, kabla ya hilo unaloita goli kufungwa, tayari refa alipuliza filimbi ya faulo dhidi ya golikipa wa Simba, hivyo tukio lolote baada ya filimbi ya refa linakuwa invalid... Shida tu ni kwenye ile faulo, hakukuonekana kuwa na faulo pale.
 
Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!

Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Mkuu kwenye mechi ya leo hakuna goli la pamba lililokataliwa bali pamba walifunga baada ya filimbi kupulizwa, hapo ilibidi uulize kwanini filimbi ilipulizwa wakati hakuna faulo iliyotendeka, ukishapuliza filimbi tu mchezo unakuwa umesimama.
 
Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!

Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Mpira qenye simba na ya ga ndani yake ni utapeli uliopitiliza. Hizi timu mbili mpira ni kazi yao ya pili kama hujui 😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom