Tukubali waamuzi wa Tanzania ni janga la taifa lile goli walilofunga pamba lilikuwa na tatizo gani?

Tukubali waamuzi wa Tanzania ni janga la taifa lile goli walilofunga pamba lilikuwa na tatizo gani?

Kuna mchezaji wa pamba alimsukuma kipa wa simba kwa kutumia makalio akakosa balance na wakagongana na mchezaji mwenzake wa simba.
Achana nae huyo, Asikuaribie siku! Utopolo wenye akili NI wawili Tu!
 
Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!

Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Sasa timu yenyewe inaitwa pamba, ishinde alafu ikawakilishe nini. Hiyo timu ya vijijini huko.
 
Hebu tugeuze tu ile mechi ndio ingekuwa bado bila bila halafu Simba kafunga lile goal nakukataliwa ukichangia na zile drama kabla ya mechi washabiki wa Simba wangesemaje?
Simba amenyimwa magoli mengi halali sana huko nyuma,sio jadi yetu kupiga kelele
 
Back
Top Bottom