Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae huyo, Asikuaribie siku! Utopolo wenye akili NI wawili Tu!Kuna mchezaji wa pamba alimsukuma kipa wa simba kwa kutumia makalio akakosa balance na wakagongana na mchezaji mwenzake wa simba.
Sasa timu yenyewe inaitwa pamba, ishinde alafu ikawakilishe nini. Hiyo timu ya vijijini huko.Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!
Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Mwambia nimemmiss balaaš¤£Yupo humu, yupo saana ila sio commentator
Simba amenyimwa magoli mengi halali sana huko nyuma,sio jadi yetu kupiga keleleHebu tugeuze tu ile mechi ndio ingekuwa bado bila bila halafu Simba kafunga lile goal nakukataliwa ukichangia na zile drama kabla ya mechi washabiki wa Simba wangesemaje?