Filimbi ilipulizwa kabla ya Goli...ndio Tatizo la kuangalizia Mpira Vibanda umiza
Kwa nn filimbi ipigwe wakati hakuna fauloLilifungwa baada ya filimbi kupigwa au baada ya gori kufungwa?
Majibu please.
All the best
Refa akipuliza filimbi inamaanisha mpira usimame mpaka atakaporuhusu uchezwe tena, na hiyo ndiyo Sheria ya mpira WA miguu.Filimbi ilipigwa kwa faulo ipi iliyotokea pale?
Goli limefungwa baada ya kipenga!Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!
Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Huna akili wewe nyamaza wenye akili ni wawili tuUkipata jibu utanisimulia maana sikuona foul yoyote Kwa mchezaji yeyote wa Simba.
Mkuu kwenye mechi ya leo hakuna goli la pamba lililokataliwa bali pamba walifunga baada ya filimbi kupulizwa, hapo ilibidi uulize kwanini filimbi ilipulizwa wakati hakuna faulo iliyotendeka, ukishapuliza filimbi tu mchezo unakuwa umesimama.
Kuna mchezaji wa pamba alimsukuma kipa wa simba kwa kutumia makalio akakosa balance na wakagongana na mchezaji mwenzake wa simba.Sasa refa alipuliza kwa faulo ipi iliyochezwa? Kitendo cha yeye kupuliza kuwa ni faulo ndicho kilichoinyima pamba bao lake halali, je faulo ilitoka wapi pale?
Sweeping statmentsKunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Kunywa sumu ufe
Bado tupo na wewe mpaka uto wakupe kitengo maana kupewa mkoa umepwaya.Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!
Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Kwaiyo wewe peke yako ndio uliona icho ulichokiona wengine awakuona?Kuna mchezaji wa pamba alimsukuma kipa wa simba kwa kutumia makalio akakosa balance na wakagongana na mchezaji mwenzake wa simba.
Ww utaonaje wakati unaangalia mpira kwa hasira na kutafutz makosa ya Simba..so wachambuzi wote waliposema alisukumwa na review zikaonyesha ww bado ulikaza fuvuKwaiyo wewe peke yako ndio uliona icho ulichokiona wengine awakuona?
Ninachozingatia mimi ni mkeka wangu kutiki na chama langu kupata alama tatu,hayo mengine mtajua wenyewe,kama vipi nendeni cafuuuuPamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!
Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Kwakweli RISITI zihifadhiwe.Risiti tunazitunza na tusije kuona mnabwata kipindi wenzenu pia wakifaidika na marefa!
Nilishasemaga siku za nyuma waamuzi wa kibongo wakamatwe wote wakatupwe baharini kwani wao ndiyo tatizo la mpira wetu hapa nchini.Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!
Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!