Tukubali waamuzi wa Tanzania ni janga la taifa lile goli walilofunga pamba lilikuwa na tatizo gani?

Tukubali waamuzi wa Tanzania ni janga la taifa lile goli walilofunga pamba lilikuwa na tatizo gani?

Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums-31645776.jpeg
 
Filimbi ilipigwa kwa faulo ipi iliyotokea pale?
Refa akipuliza filimbi inamaanisha mpira usimame mpaka atakaporuhusu uchezwe tena, na hiyo ndiyo Sheria ya mpira WA miguu.
Kwa tulip la Jana refa alipuliza filimbi wakati golikipa wa Simba alipoanguka. Ilibidi mpira usimame lakini wachezaji wakaidi wa Pamba waliendelea kucheza. Sasa Hilo goli limefungwa wapi na muda gani?
 
Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!

Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Goli limefungwa baada ya kipenga!
Huna akili wewe wenye akili ni wawili
 
Mkuu kwenye mechi ya leo hakuna goli la pamba lililokataliwa bali pamba walifunga baada ya filimbi kupulizwa, hapo ilibidi uulize kwanini filimbi ilipulizwa wakati hakuna faulo iliyotendeka, ukishapuliza filimbi tu mchezo unakuwa umesimama.
 
Sasa refa alipuliza kwa faulo ipi iliyochezwa? Kitendo cha yeye kupuliza kuwa ni faulo ndicho kilichoinyima pamba bao lake halali, je faulo ilitoka wapi pale?
Kuna mchezaji wa pamba alimsukuma kipa wa simba kwa kutumia makalio akakosa balance na wakagongana na mchezaji mwenzake wa simba.
 
Hebu tugeuze tu ile mechi ndio ingekuwa bado bila bila halafu Simba kafunga lile goal nakukataliwa ukichangia na zile drama kabla ya mechi washabiki wa Simba wangesemaje?
 
Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!

Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Bado tupo na wewe mpaka uto wakupe kitengo maana kupewa mkoa umepwaya.
 
Bora hyo lomalisa alipiga cross nje ya uwanja na lines man anaona lakini akapotezea na ikawa goli au mnajisahaulisha.
 
Kuna mchezaji wa pamba alimsukuma kipa wa simba kwa kutumia makalio akakosa balance na wakagongana na mchezaji mwenzake wa simba.
Kwaiyo wewe peke yako ndio uliona icho ulichokiona wengine awakuona?
 
Ukiangalia kwa Sonona na kisebu sebu utaona ni makosa...ila ukiangalia nini kilianza mpk ikaww vile ndo utakufa kwa stress...
Poleni sana bana ba utopolo ya bemba...
 
Kwaiyo wewe peke yako ndio uliona icho ulichokiona wengine awakuona?
Ww utaonaje wakati unaangalia mpira kwa hasira na kutafutz makosa ya Simba..so wachambuzi wote waliposema alisukumwa na review zikaonyesha ww bado ulikaza fuvu
 
Refa anachezesha kwa maelekezo ya Simba/Yanga ndio maana unaona ni rahisi hizo Timu kupewa tuta ila ni ngumu tuta hilo hilo likawa upande wao refa angalia hadi makamisaa wanaongeza dk 2 walitamani waweke dk 1 na hizo mbili hazijaisha..
 
Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!

Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Ninachozingatia mimi ni mkeka wangu kutiki na chama langu kupata alama tatu,hayo mengine mtajua wenyewe,kama vipi nendeni cafuuuu
 
Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe!

Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa wanatuharibia Mpira!
Nilishasemaga siku za nyuma waamuzi wa kibongo wakamatwe wote wakatupwe baharini kwani wao ndiyo tatizo la mpira wetu hapa nchini.
 
Back
Top Bottom