Tukubali waamuzi wa Tanzania ni janga la taifa lile goli walilofunga pamba lilikuwa na tatizo gani?

Kuna mchezaji wa pamba alimsukuma kipa wa simba kwa kutumia makalio akakosa balance na wakagongana na mchezaji mwenzake wa simba.
Achana nae huyo, Asikuaribie siku! Utopolo wenye akili NI wawili Tu!
 
Sasa timu yenyewe inaitwa pamba, ishinde alafu ikawakilishe nini. Hiyo timu ya vijijini huko.
 
Hebu tugeuze tu ile mechi ndio ingekuwa bado bila bila halafu Simba kafunga lile goal nakukataliwa ukichangia na zile drama kabla ya mechi washabiki wa Simba wangesemaje?
Simba amenyimwa magoli mengi halali sana huko nyuma,sio jadi yetu kupiga kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…