Ukubaliane na nani?Siku tukifikia muafaka kuwa Chama sio mchezaji wa mechi ndipo Simba tutatoboa Nusu fainali michuano ya CAF.
HUYU JAMAA NI MCHEZAJI WA KU-SHINE dhidi ya Ihefu FC na Ruvu Shooting.
Yaani inakuwaje Pro Player unakosa penati katika decisive stage kama ile.
Ipo siku Simba tutashiriki nusu fainali, lakini katika hiko kikosi hapatakuwa na CHAMA.
Embu nitajie mchezaji alicheza vizuri kuliko chama, binafsi leo naona wachezaji wote walikuwa sawa tuSiku tukifikia muafaka kuwa Chama sio mchezaji wa mechi ndipo Simba tutatoboa Nusu fainali michuano ya CAF.
HUYU JAMAA NI MCHEZAJI WA KU-SHINE dhidi ya Ihefu FC na Ruvu Shooting.
Yaani inakuwaje Pro Player unakosa penati katika decisive stage kama ile.
Ipo siku Simba tutashiriki nusu fainali, lakini katika hiko kikosi hapatakuwa na CHAMA.
Hao ulio wataja hawakosi penati ktk decisive moments.Kukosa penalty kawaida Sana hata mesi na ronaldo wamekosa Sana
Lakini chama ni mchezaji wa game ndogo upo sahihi game zote mbili amezengua ndani ya uwanja simba game ya kwanza aneshinda hata bao 3 leo angekuwa nusu fainali!!!
Mkuu mbna hauumii na matokeomnamponda tena??? wakati mnasemaga hamna kama chama Africa
Ronald alikosa na manchester mwaka 2008 kwenye fainali ya uefa na chelseaHao ulio wataja hawakosi penati ktk decisive moments.
Wasome Roberto Baggio, David Beckham, halafu useme kama sio wachezaji wa timu kubwa.Yaani inakuwaje Pro Player unakosa penati katika decisive stage kama ile.