Tukubaliane: Chama sio mchezaji wa mechi kubwa

Tukubaliane: Chama sio mchezaji wa mechi kubwa

Penalty ni kamari km wydad ni mbabe angepindua meza dk 90 tu huyo Rivers Anaecheza na vibonde dk 90 alikula ngapi et jmn
 
Simba hatuna match analyst kila siku tunatolewa kwa makosa yale aina ile ile ya magoli kila mwaka na hakuna progress yoyote
 
Kukosa penalty kawaida Sana hata Messi na Ronaldo wamekosa Sana

Lakini chama ni mchezaji wa game ndogo upo sahihi game zote mbili amezengua ndani ya uwanja simba game ya kwanza angeshinda hata bao 3 leo angekuwa nusu fainali!!!
Trezeget alikosa decisive penalty world cup 2006,Messy alikosa decisive penalty world cup na last world cup ilikuwaje me sikumbk
 
Chama kukosa penalty si jambo la kumshusha labda uzungumzie matukio mengine ya uwanjani, hizo kitu hata kina Messi zinawakataa muda mwingine
Waulize striker wao mayele,kapiga penati ngapi na kafunga ngapi,utakuta asilimia 97 ya penati zote kakosa kapata 3 tu.
 
Penati hazina ufundi mkuu, hata Messi na Ronaldo wamekosa sana.

Simba wametoka kiume, hatua ya penalties ni bahati nasibu, msianze kushikana uchawi huko msimbazi.

Hongereni watani, mmejitahidi
Mleta uzi huu ni UTOPOLO mwenzio!
 
Penati hazina ufundi mkuu, hata Messi na Ronaldo wamekosa sana.

Simba wametoka kiume, hatua ya penalties ni bahati nasibu, msianze kushikana uchawi huko msimbazi.

Hongereni watani, mmejitahidi
Team inapotolewa kiume inapewa nini? Hakuna Cha kiume pale, kafa tu sababu hakuna mahala ataelekea
 
Ronald alikosa na manchester mwaka 2008 kwenye fainali ya uefa na chelsea

Messi alikosa penalty nusu fainali uefa tena baca wakiwa nyumbani dhidi ya chelsea!!

Ulikuwa na miaka mingapi?
Inabidi udokeze pia kuwa hao jamaa wamewahi kubeba Hilo kombe wakiwa na hizohizo team. Hao wenzetu nao vipi
 
Back
Top Bottom