Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu yakeSiku tukifikia muafaka kuwa Chama sio mchezaji wa mechi ndipo Simba tutatoboa Nusu fainali michuano ya CAF.
HUYU JAMAA NI MCHEZAJI WA KU-SHINE dhidi ya Ihefu FC na Ruvu Shooting.
Yaani inakuwaje Pro Player unakosa penati katika decisive stage kama ile.
Ipo siku Simba tutashiriki nusu fainali, lakini katika hiko kikosi hapatakuwa na CHAMA.
View attachment 2603162
kwasababu sikuwakabidhi Wydad kumpiga Simba.. niliwaona wa kawaida sanaa ndo mana naona kawaida tu ushindi hauna hata ubabe bwanaMkuu mbna hauumii na matokeo
Mitaa yote kimya....Bora kapigwa[emoji23]kwasababu sikuwakabidhi Wydad kumpiga Simba.. niliwaona wa kawaida sanaa ndo mana naona kawaida tu ushindi hauna hata ubabe bwana
Bora kapigwa ila Raja bwana ndo watu safi kabisa [emoji2]Mitaa yote kimya....Bora kapigwa[emoji23]
Hasira tu, zikipoa wataendelea kumpamba!mnamponda tena??? wakati mnasemaga hamna kama chama Africa
Jamaa ni uto, fatilia michango yake humu jukwaanimnamponda tena??? wakati mnasemaga hamna kama chama Africa
shida ni mentality yakeSiku tukifikia muafaka kuwa Chama sio mchezaji wa mechi ndipo Simba tutatoboa Nusu fainali michuano ya CAF.
HUYU JAMAA NI MCHEZAJI WA KU-SHINE dhidi ya Ihefu FC na Ruvu Shooting.
Yaani inakuwaje Pro Player unakosa penati katika decisive stage kama ile.
Ipo siku Simba tutashiriki nusu fainali, lakini katika hiko kikosi hapatakuwa na CHAMA.
View attachment 2603162
Chama jana kawa chama cha kucheza faulo uwanjani🤣🤣Siku tukifikia muafaka kuwa Chama sio mchezaji wa mechi ndipo Simba tutatoboa Nusu fainali michuano ya CAF.
HUYU JAMAA NI MCHEZAJI WA KU-SHINE dhidi ya Ihefu FC na Ruvu Shooting.
Yaani inakuwaje Pro Player unakosa penati katika decisive stage kama ile.
Ipo siku Simba tutashiriki nusu fainali, lakini katika hiko kikosi hapatakuwa na CHAMA.
View attachment 2603162
Kunywa kwanza maji upunguze hasira mkuu, petani ndio kitu gani ndugu yetu, najua kufungwa kunauma.Petani hazina ufundi mkuu, hata Messi na Ronaldo wamekosa sana.
Simba wametoka kiume, hatua ya penalties ni bahati nasibu, msianze kushikana uchawi huko msimbazi.
Hongereni watani, mmejitahidi
Ni kweli kabisa wanakosa ila jamaa alipiga kama yosso anacheza ligi daraja 4 bora shomari alikaza mguu sijui alijikuta Pirlo.Kukosa penalty kawaida Sana hata Messi na Ronaldo wamekosa Sana
Lakini chama ni mchezaji wa game ndogo upo sahihi game zote mbili amezengua ndani ya uwanja simba game ya kwanza angeshinda hata bao 3 leo angekuwa nusu fainali!!!
Ronaldo vs Bayern Munich uefa champions league semi finalHao ulio wataja hawakosi penati ktk decisive moments.
Enonga,Kibu,kapombeEmbu nitajie mchezaji alicheza vizuri kuliko chama, binafsi leo naona wachezaji wote walikuwa sawa tu
Hiyo ni typing error tu mkuu 😅😅😅Kunywa kwanza maji upunguze hasira mkuu, petani ndio kitu gani ndugu yetu, najua kufungwa kunauma.
Hili ndo la kuongelea. Mechi ya Jana kuna Wachezaji zaidi ya Chama àmbao hajawasema lakini wapo. Mbali ya madhaifu ya Saidoo tangu dakika ya 10 lkn alivumiliwa aje apige penati.Daah, sema tulikosea kutotumia uwanja wa nyumbani vema.