Tukubaliane: Chama sio mchezaji wa mechi kubwa

Aibu yake
 
Chama kukosa penalty si jambo la kumshusha labda uzungumzie matukio mengine ya uwanjani, hizo kitu hata kina Messi zinawakataa muda mwingine
 
Hivi baleke nae vipi, kagisa mpira mara ngapi.
KUNA MDAU ALISEMA BALEKE NI MSHAMBULIAJI WA KUVIZIAVIZIA, NA SIO WA KIAMUA GAME KA HII YA LEO.
 
shida ni mentality yake
 
Chama jana kawa chama cha kucheza faulo uwanjani🤣🤣
 
Petani hazina ufundi mkuu, hata Messi na Ronaldo wamekosa sana.

Simba wametoka kiume, hatua ya penalties ni bahati nasibu, msianze kushikana uchawi huko msimbazi.

Hongereni watani, mmejitahidi
Kunywa kwanza maji upunguze hasira mkuu, petani ndio kitu gani ndugu yetu, najua kufungwa kunauma.
 
Kukosa penalty kawaida Sana hata Messi na Ronaldo wamekosa Sana

Lakini chama ni mchezaji wa game ndogo upo sahihi game zote mbili amezengua ndani ya uwanja simba game ya kwanza angeshinda hata bao 3 leo angekuwa nusu fainali!!!
Ni kweli kabisa wanakosa ila jamaa alipiga kama yosso anacheza ligi daraja 4 bora shomari alikaza mguu sijui alijikuta Pirlo.
 
Kunywa kwanza maji upunguze hasira mkuu, petani ndio kitu gani ndugu yetu, najua kufungwa kunauma.
Hiyo ni typing error tu mkuu 😅😅😅

Alaf wewe ndio unatakiwa unywe maji kutuliza kichwa, kwa kudhani Mimi ni kolo mwenzio 😅😅
 
Daah, sema tulikosea kutotumia uwanja wa nyumbani vema.
Hili ndo la kuongelea. Mechi ya Jana kuna Wachezaji zaidi ya Chama àmbao hajawasema lakini wapo. Mbali ya madhaifu ya Saidoo tangu dakika ya 10 lkn alivumiliwa aje apige penati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…