CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
sisi kama wazalendo tumehudhunishwa sana na haya matokeo lkn ......tujipambe na kombe la Azam confederation cup na
kombe letu la mapinduzi
Daah mwenyewe nmeshangaa kinoma ......why wydadi wamesumbuliwa hivi[emoji23]Bora kapigwa ila Raja bwana ndo watu safi kabisa [emoji2]
Mi sijashangaa fatilia hata comment zangu tangu juzi, hutaona nawakubali wydad kwasbabu kwenye mzani wangu nilishaona wepesi sanaDaah mwenyewe nmeshangaa kinoma ......why wydadi wamesumbuliwa hivi[emoji23]
watapambana na nani? 😂😂 warudi tu huku matopeniHasira tu, zikipoa wataendelea kumpamba!
Waambie wawahi kurudi, maan jumapili kuna sherehe hapo kwa Mkapa. Wasiache kuhudhuria!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
😂😂😂Jamaa ni uto, fatilia michango yake humu jukwaani
Trezeget alikosa decisive penalty world cup 2006,Messy alikosa decisive penalty world cup na last world cup ilikuwaje me sikumbkKukosa penalty kawaida Sana hata Messi na Ronaldo wamekosa Sana
Lakini chama ni mchezaji wa game ndogo upo sahihi game zote mbili amezengua ndani ya uwanja simba game ya kwanza angeshinda hata bao 3 leo angekuwa nusu fainali!!!
Out of eleven players si ndio?Enonga,Kibu,kapombe
Sasa unafanaisha chama na takataka gani pale utopoloni kwenuSisi wengine tulishasema kitambo kuhusu Chama tukaonekana waongo sasa bora nyie wnyewe wenye timu yenu muongee.
Waulize striker wao mayele,kapiga penati ngapi na kafunga ngapi,utakuta asilimia 97 ya penati zote kakosa kapata 3 tu.Chama kukosa penalty si jambo la kumshusha labda uzungumzie matukio mengine ya uwanjani, hizo kitu hata kina Messi zinawakataa muda mwingine
Mleta uzi huu ni UTOPOLO mwenzio!Penati hazina ufundi mkuu, hata Messi na Ronaldo wamekosa sana.
Simba wametoka kiume, hatua ya penalties ni bahati nasibu, msianze kushikana uchawi huko msimbazi.
Hongereni watani, mmejitahidi
KAma ambavyo wao walikosea kutokutumia vyema uwanja waoDaah, sema tulikosea kutotumia uwanja wa nyumbani vema.
Team inapotolewa kiume inapewa nini? Hakuna Cha kiume pale, kafa tu sababu hakuna mahala ataelekeaPenati hazina ufundi mkuu, hata Messi na Ronaldo wamekosa sana.
Simba wametoka kiume, hatua ya penalties ni bahati nasibu, msianze kushikana uchawi huko msimbazi.
Hongereni watani, mmejitahidi
Inabidi udokeze pia kuwa hao jamaa wamewahi kubeba Hilo kombe wakiwa na hizohizo team. Hao wenzetu nao vipiRonald alikosa na manchester mwaka 2008 kwenye fainali ya uefa na chelsea
Messi alikosa penalty nusu fainali uefa tena baca wakiwa nyumbani dhidi ya chelsea!!
Ulikuwa na miaka mingapi?
Chaga zivunjike zisivunjike ila kupigwa miti ni kupigwa miti tukwasababu sikuwakabidhi Wydad kumpiga Simba.. niliwaona wa kawaida sanaa ndo mana naona kawaida tu ushindi hauna hata ubabe bwana