Duh,
We kweli kiazi kwa hiyo kama baba yako alikua anakunywa mataputapu na wewe ndio unywe?🤣🤣🤣 lakini kama huyu kasema kweli mkuu
Sasa matapu tapu yana uhusiano gani na mada iliyopo? Au ndo pombe zinaanza kuingia kichwani?We kweli kiazi kwa hiyo kama baba yako alikua anakunywa mataputapu na wewe ndio unywe?
Bata weweSasa matapu tapu yana uhusiano gani na mada iliyopo? Au ndo pombe zinaanza kuingia kichwani?
Ndo nini hicho?Bata wewe
Hiyo haijustify kufanyika Tanzania🤣🤣🤣 lakini kama huyu kasema kweli mkuu
Inasikitisha sana profesa mzima anakuwa na akili kama za Kingwendu.
Nilikuwa sijui kama Gaza kumejaa watu weusi wengi vile 🥷
🖕 hauna akiliNdo nini hicho?
Huu mtazamo hauna uhalisia. Hawa Wazee wanalinda tu matumbo yao. Na siyo kwa sababu ya uzee wao. Hata hao vijana na wenyewe wangelinda matumbo yao.Mtu anapozidi kuzeeka ndivyo uwezo wa kufikili unapungua.Tume ilitakiwa kuwe na mchanganyiko na vijana kutoka makundi tofauti yote ndiyo tungepata ukweli