Tukubaliane sasa hii nchi haina Wazee bali Wahuni waliozeeka

Mtu anapozidi kuzeeka ndivyo uwezo wa kufikili unapungua.Tume ilitakiwa kuwe na mchanganyiko na vijana kutoka makundi tofauti yote ndiyo tungepata ukweli
 
Mtu anapozidi kuzeeka ndivyo uwezo wa kufikili unapungua.Tume ilitakiwa kuwe na mchanganyiko na vijana kutoka makundi tofauti yote ndiyo tungepata ukweli
Huu mtazamo hauna uhalisia. Hawa Wazee wanalinda tu matumbo yao. Na siyo kwa sababu ya uzee wao. Hata hao vijana na wenyewe wangelinda matumbo yao.

Kumbuka tume iliteuliwa na Rais! Kwa hiyo usitegemee ingekuja na mapendekezo ya kumhukumu Bosi aliyewateua hao wajumbe. Mbaya zaidi hao wajumbe wote ni makada watiifu wa chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…