Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Bila kupepesa macho au kumung’unya mung’unya maneno lets keep it one thousand.
Hawa watu wanaohubiri kwa maspika, kwa makelele iwe masokoni,njiani au kwenye mabasi au wale wanaoimba gospel barabarani kisha kuweka bakuli au kuomba sadaka ni omba omba tu kama omba omba wengine.
Na Wala hawapo class juu ya ombaomba. Wapo class moja na ombaomba, ni sawa kabisa na wale wanaoomba kwenye magari yakiwa kwenye Jam au wale wanaojitega kwenye madaraja ya mwendokasi au wale wanaotembea kwenye masoko wakioneshea vidonda vyao au ulemavu wao wakiomba hela.
Wote ni ombaomba, Wanatofautiana mbinu tu za kuombaomba.