Tukubaliane: Wanaohubiri kwenye mabasi, masokoni na njiani ni Omba omba kama ombaomba wengine

Tukubaliane: Wanaohubiri kwenye mabasi, masokoni na njiani ni Omba omba kama ombaomba wengine

Bora hao omba omba wanaoweza kukupa ata vijimaneno vya kukufariji , kuliko hao wanaomba kavu kavu.
 
Kuna mmoja mtaani alikua hapati sadaka baada kuhubiri,ila alipoanza kuhubiri kwamba Yesu akija Duniani simu atakayotumia ni tecno akaanza kukusanya sadaka kidekede kutoka kwa sisi watumiaji wa tecno.

sahivi tumempa jina la mchungaji nabii tecno.💪
 
Back
Top Bottom