Oya kama Mungu amekubaliki kipato kiwe kikubwa au kidogo usidharau kazi ya mtu, ingali bado una afya na unapumua ipo siku Utahitaji msaada kwa hao hao unawaita omba omba acha dharau mzee unaemdharau leo ujui kesho yake ipojeWale ni ombaomba waliochangamka
Well said👏Oya kama Mungu amekubaliki kipato kiwe kikubwa au kidogo usidharau kazi ya mtu, ingali bado una afya na unapumua ipo siku Utahitaji msaada kwa hao hao unawaita omba omba acha dharau mzee unaemdharau leo ujui kesho yake ipoje
NAKAZIA hojaWale ni ombaomba waliochangamka
Kwamba mtu akiwa ombaomba tusiseme? Kwanza inatakiwa mpigwe makofi sababu mnatupigia kelele kwenye safari.Oya kama Mungu amekubaliki kipato kiwe kikubwa au kidogo usidharau kazi ya mtu, ingali bado una afya na unapumua ipo siku Utahitaji msaada kwa hao hao unawaita omba omba acha dharau mzee unaemdharau leo ujui kesho yake ipoje
Hii ni wazi. Ni utafutaji wa fedha.Bila kupepesa macho au kumung’unya mung’unya maneno lets keep it one thousand.
Hawa watu wanaohubiri kwa maspika, kwa makelele iwe masokoni,njiani au kwenye mabasi au wale wanaoimba gospel barabarani kisha kuweka bakuli au kuomba sadaka ni omba omba tu kama omba omba wengine.
Na Wala hawapo class juu ya ombaomba. Wapo class moja na ombaomba, ni sawa kabisa na wale wanaoomba kwenye magari yakiwa kwenye Jam au wale wanaojitega kwenye madaraja ya mwendokasi au wale wanaotembea kwenye masoko wakioneshea vidonda vyao au ulemavu wao wakiomba hela.
Wote ni ombaomba, Wanatofautiana mbinu tu za kuombaomba.
Hakuna kazi ya kutangatanga kwenye magari ''kuombea'' watu. Neno kuombea nimeweka kwenye ''-'' kwa sababu hawa hawaombei watu bali wanaomba watu.Oya kama Mungu amekubaliki kipato kiwe kikubwa au kidogo usidharau kazi ya mtu, ingali bado una afya na unapumua ipo siku Utahitaji msaada kwa hao hao unawaita omba omba acha dharau mzee unaemdharau leo ujui kesho yake ipoje
Watu wanapata injili nankuokoka, sasa kutoa sadaka ni uamuzi tofauti na wale wanapka milangoni mwa miskiti ni kama lazma kuwachangia.Bila kupepesa macho au kumung’unya mung’unya maneno lets keep it one thousand.